kim prince msofe
Senior Member
- Feb 27, 2015
- 154
- 44
Naomb mwenye ujuzi anifahamishe tafadhali nawezaje kupata kipato kwen YouTube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni bure au unachangia?Kama ukihitaji hizo acc za google adsense ninazo nakusetia just 5 minutes call 0713774746
Nikikupa bure hutafanyia kazini bure au unachangia?
ingekuwa na kazi ya kulipa unadhan na ww ungeuzaNikikupa bure hutafanyia kazi
Tatizo hii kitu hujaelewa vizuri.... ndiomana unasema hivyo ungepiga simu ingekuwa rahisi kuelezeaingekuwa na kazi ya kulipa unadhan na ww ungeuza
Ila ishu ya copyright ni mtihani kama unapata kipato kidogo wale wanaomiliki hizo kazi wanaweza wasiwe na shida na wewe. Ila ukianza kupata kipato kikubwa hukawii kufunguliwa kesi ya ile Tigo waliyofunguliwa na kina Mwana FA..Na unaweza ukalipa faini kubwa zaidi ya kiasi ulichoingiza. Na kitu cha pili wao You tube wanasisitiza sana uweze ku comply na mambo ya copyrights. Wenzetu wazpo sensitive sana na copyright kwa hiyo inahitaji umakini kwenye hilo...Ni rahisi sana account yako ya youtube utaiunganisha na google adsense. Then kazi yako itakuwa kupost video na kushare link ya video yako kwenye mitandao ya kijamii ili watu waingie wengi waone matangazo upate pesa
Thus ol