Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

Kapteni aliyekuwepo palepale alidhani imeangukia upande wake..., refa pia alidhani hivyo ila watu ambao hawakuwepo pale wala yule ambaye hakuangalia ndio baadae alidhani iliangukia kwake sababu mwenzake alishangilia ?
 
Kapteni wa Kotoko alianza kushangilia. Kapteni wa Yanga akaamini. Refa akatoa ushindi kwa Kotoko. Sasa kama alianza kushangilia kabla shilingi haijaanguka, Je, ilipoanguka ni nani sasa aliona kwamba imetoa ushindi kwa Yanga? Haiwezekani kuwa ilipomalizika kuanguka bado ikatoa ushindi kwa Kotoko?
 
kutoisubiri shilingi ifike chini ni dhulma
 
Namungo hawahawa ambao wamecheza shirikisho? Wanawahi sana kukata moto yani round ya kwanza tu chali
ndo hao hao kwenye rank ya CAF wameipita Yanga kwa ubora
 
Kumbe ukilaza mlianza zamani
 
Kumbe marefa wa nyakati hizo walikuwa mazuzu .

Tu assume yanga alishinda matokeo ya urushaji wa sarafu na kufika nusu fainali .
 
Kanuni ya shilingi haifai
 

Attachments

  • FB_IMG_17089618746562490.jpg
    391.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…