Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,189
- 1,217
Wapo bila shaka wanaitwa khunthaa, kiislam kuna baadhi ya sheria lazima jinsia ya mtu husika ifahamike kama vile mirath, sasa hapo ndo itaangaliwa atumia ipi kuendea haja ndogo? Na kuna ambao wanatumia zote ila hao ni mmoja kwenye makhunthaa mia.Mimi binafsi naskiaga wanaongelewa ILA Sijawahi kutana na mmoja,ivi wapo kweli hawa watu???na unaambiwa both organs zinafanya kazi!sasa sijui kma ana ya kike na ya kiume anaweza kujiridhisha mwenyew tu [emoji23] [emoji23]
naombeni msaada hapa wakuu
Ivi wale ndvo wamezaliwa au ni surgery?Shemales....wasearch google
Watoto wakali lakini wana mipini
Usipotoshe umma bila kufanya utafiti wa kutosha. Shemales wanazaliwa.Shemales wamefanya surgery hawajazaliwa vile walivyo .
shemale huwa ni wanaume ambao wanafanyiwa surgery ya kuwekwa sura ys kike na shape(hips nk..)Shemales wamefanya surgery hawajazaliwa vile walivyo .
Kama jambo hulijui ni bora u-Google upate uelewa, au unyamaze kuliko kupoteza wengine.shemale huwa ni wanaume ambao wanafanyiwa surgery ya kuwekwa sura ys kike na shape(hips nk..)
Wewe ndo haujui she males ni wanaume walio Fanya surgery...hata wewe ukiamua unaweza kuwa shemale...vipi unataka?Kama jambo hulijui ni bora u-Google upate uelewa, au unyamaze kuliko kupoteza wengine.
Yeah shemale ni wanau
Wewe ndo haujui she males ni wanaume walio Fanya surgery...hata wewe ukiamua unaweza kuwa shemale...vipi unataka?