LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Hujui unacho kiongea she males ni tofauti na hermophrodites ama huntha kwa kiswahili..huntha ni mwanamke aliye zaliwa na jinsia mbili wakati shemale ni mwanaume aliyebadilisha maumbile na muonekano wake kuwa wa like huku akisalia kuwa na uume...transgender MTU aliyefanyiwa upasuaji I'll kubadilisha jinsia yake ...hawa huntha bongo wapo wengi sana...idadi yao kubwa wanapatkkana katika mikoa ya shinyanga na tanga..nimefanya research kuhusu hao huntha mwaka 2008 ninawafahamu wengi sana...matter fact Nina dada yangu wa tumbo moja ambae ni huntha....Tuliza mzuka pori wewe! Shemale = Transgender people.
(people who are
born with typical male or female anatomies but feel as though they've been born)
Watu waliozaliwa na maumbile/mwonekano tofauti na uhalisia wao. Kwa taarifa yako neno Female ni neno linalotumika sana kwenye mambo ya biashara ya ngono tu na sio vinginevyo. Hayo ya kufanyiwa surgery ili uwe female ni tamaa yako ya kutaka kuliwa.