Jinsia Mbili(Haemophrodites)

Jinsia Mbili(Haemophrodites)

Tuliza mzuka pori wewe! Shemale = Transgender people.
(people who are
born with typical male or female anatomies but feel as though they've been born)
Watu waliozaliwa na maumbile/mwonekano tofauti na uhalisia wao. Kwa taarifa yako neno Female ni neno linalotumika sana kwenye mambo ya biashara ya ngono tu na sio vinginevyo. Hayo ya kufanyiwa surgery ili uwe female ni tamaa yako ya kutaka kuliwa.
Hujui unacho kiongea she males ni tofauti na hermophrodites ama huntha kwa kiswahili..huntha ni mwanamke aliye zaliwa na jinsia mbili wakati shemale ni mwanaume aliyebadilisha maumbile na muonekano wake kuwa wa like huku akisalia kuwa na uume...transgender MTU aliyefanyiwa upasuaji I'll kubadilisha jinsia yake ...hawa huntha bongo wapo wengi sana...idadi yao kubwa wanapatkkana katika mikoa ya shinyanga na tanga..nimefanya research kuhusu hao huntha mwaka 2008 ninawafahamu wengi sana...matter fact Nina dada yangu wa tumbo moja ambae ni huntha....
 
Tuliza mzuka pori wewe! Shemale = Transgender people.
(people who are
born with typical male or female anatomies but feel as though they've been born)
Watu waliozaliwa na maumbile/mwonekano tofauti na uhalisia wao. Kwa taarifa yako neno Female ni neno linalotumika sana kwenye mambo ya biashara ya ngono tu na sio vinginevyo. Hayo ya kufanyiwa surgery ili uwe female ni tamaa yako ya kutaka kuliwa.
Hivi mkuu kati ya male na female nani analiwa?mi nafkiri male ndo analiwa coz yeye ndo anaingiza kunako papuchi halafu anaanza kuliwa!!iko ivyo mkuu!
 
Wekeni picha basi
Ukiwekewa picha unaweza KUFA hapo hapo mkuu,ni kama umeona jini vile ,usiombe kuona hii kitu.ni noma,usiombe usiombe usiombe kumtongoza au kutongozwa na mtu wa namna hiyo ni balaa AAA.
Ktk jamii wapo utaona mtu haoi/haolewi mpk anakufa may be ana hizo ndude mbili
 
Mimi binafsi naskiaga wanaongelewa ILA Sijawahi kutana na mmoja,ivi wapo kweli hawa watu???na unaambiwa both organs zinafanya kazi!sasa sijui kma ana ya kike na ya kiume anaweza kujiridhisha mwenyew tu [emoji23] [emoji23]
naombeni msaada hapa wakuu
sasa wewe unaomba msaada wa nini? wakupata izo jinsia mbili!!unashida nazo?
 
Ukiwekewa picha unaweza KUFA hapo hapo mkuu,ni kama umeona jini vile ,usiombe kuona hii kitu.ni noma,usiombe usiombe usiombe kumtongoza au kutongozwa na mtu wa namna hiyo ni balaa AAA.
Ktk jamii wapo utaona mtu haoi/haolewi mpk anakufa may be ana hizo ndude mbili
Teknolojia amekuwa nimeshawahi kumuona hermophrodites wazazi wake walikuwa wanapenda kumvalisha nguo za kiume.Alipofika umri wa miaka 15 alipelekwa nje kufanyiwa upasuaji akabaki na jinsi ya kike na sasa yupo UK ana mtoto mmoja sasa.
 
Shemale wapo wengi tu, google shemale utapata video nyingi sana tu.
 
Back
Top Bottom