Jinsia mbili kwa Mwanamke

Jinsia mbili kwa Mwanamke

AkiliMingi AM

Member
Joined
Jul 5, 2020
Posts
88
Reaction score
60
Miaka kama miwili nyuma nilikuepo huko mererani, sikua huko kwa ajili ya kuchimba madini la hasha bali nilikuwa kwa mishe mishe zangu zingine,

Nilikuwa niko na binamu yangu wa kiume yaani mtoto wa mjomba wangu kabisa kabisa, kuna zile kutoka kula kula misele kitaani siku moja tukakutana na ma binti wawili, ila mumoja wao ni mkali asikuambie mtu na mm nikawa nimempenda uyo demu mkali kuliko mwenzie, kumbe binamu yangu naye kamuelewa kinoma lakini demu hakuwa ananitaka mm kabisa bali alikuwa anamtaka binamu yangu, kila tukifika gheto tunatambiana nani wa kwanza kumpata yule dem yani kila mtu anasema yy ndio atampata kabla ya mwenzie,

Siku ya siku binamu yangu akaniomba nimpishe gheto ana demu anakuja, hakutaka kuniambia ni demu yupi nilipo ondoka nikakaa mahali kuchunguza ni demu gani ataingia gheto, ghafla nikashituka kumuona demu tulekuwa tuna mgombea ndio alie ingia gheto, nikasema nishapigwa KO tayr, nikasogea karibu kabisa upande wa dirishani kusikilizia, ila nikawa nasikia minong'ono ya chin chin si ya kwamba wanafanya kitu...

mwishowe walitoka kusindikizana nikaingia gheto hakukua na dalili yoyote ya kama kuna watu wamepigana miti kitandani, nilifurahi kinoma ila binamu alipo rudi akanikata stim kabisa, akanambia kua demu ana junsia mbili na demu mwenyew ndio kamruhusu amwangalie ila ile ya kiume ni ndogo si kama za kawaida za wanaume imekaa mfumo wa wale watu wanakuaga na vidole sita , niliishiwa pozi kabisa na hata binamu yangu yeye alimua kumpotezea na siku wanaachana demu alilalamika sana, mm nikashukuru kuwa sikufanya lolote sikumtongoza maana ningepata lawama za bure.

wana jf utachukua uamuzi gani mwanamke wako anapotaka kukupa tunda alafu unapata ana jinsia mbili ya kike na kiume.?
 
kidunia wanaongezeka saivi, muda si mrefu litakua Jambo la kawaida kabisa.
 
Miee mbna nafahamu hilo kuwa wapo wenye jinsia 2 na zote zipo active, ni maamuzi ya muhusika tyuuh kuamua atumie ipi kwa wakati husika, sasa yee huyo anaona ajabu lol.

Kama umezoea kuona mwenye jinsia mbili obviously huwezi kuona ajabu ama mmiliki wa hizo jinsia mbili anaweza kuona kawaida pia

Ajabu inakuja kwa ambaye hajazoea kuona mtu wa namna hiyo

Halafu kufahamu kuwa kuna watu wa namna hiyo na kushuhudia kabisa pussy na dick kumilikiwa na mtu mmoja ni vitu viwili tofauti
 
Yeaaah ni kweli, but nlkua naona kweny sites fulan, kwahyo kwangu sio ajabu wala jambo la kushangaza, ni kawaida sanaaaah.
 
ndio nikweli, ila kwa Tanzania yetu ukijulikana lazima waandishi wetu wa habari utopolo watakuanika tu wapate viewers
 
Yeaaah ni kweli, but nlkua naona kweny sites fulan, kwahyo kwangu sio ajabu wala jambo la kushangaza, ni kawaida sanaaaah.

Ni kawaida?au unamaanisha ni kawaida kwa kuona kwenye hizo sites?

Unaweza kusex na mwanaume mwenye jinsia mbili?
 
Ni kawaida?au unamaanisha ni kawaida kwa kuona kwenye hizo sites?

Unaweza kusex na mwanaume mwenye jinsia mbili?
Jamaniiii dea huko mbaliiiiih sasa daaah, ila anyway km nikiridhia kuwa nae nafany hivyo, wala hakuna tatizo.
 
Back
Top Bottom