100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Atabisha...Jamii za watu wenye high IQ ni kutoka Asia mashariki ambao ni hao wachina, wajapan, wakorea hii ni taifiti ya kimataifa yupo sahihi
mzee hizo taarifa za kupeana code za s300 si zinajulikana ndio mana israel anapiga damascus mda wowote anapojiskia au hujui hilo?Waonyeshe ubabe wao sasa, watu wenye akili nyingi duniani kote, matajiri na wenye ushawishi mkubwa sana katika serikali ya USA, wenye nguvu za kijeshi na hawawezi kupigwa na taifa lolote....🤣🤣🤣🤣
Sasa watumie uwezo wao kijeshi, watumie akili zao ku neutralize hao arabs wasiendelee kuwapiga sio lazima watumie nguvu, maana ya kuwa na akili nyingi ni unakuwa flexible unatumia akili ulizonazo kutatua chagamoto katika mazingira yanayo kuzunguka.
Israel hawana maajabu mzee.
Ngoja nikupe za chini kabisa ambazo niliingia mwenyewe kutafuta info. na huzipati kokote, nachokuambia ni email zilizovuja usiniulize nimetoa wapi..
Kuna kampuni ya Mexico ilikuwa inaitwa HYDRA, hawa jamaa walikuwa wanatengeneza drones, katika kipindi cha mapigano kati ya Georgia na Russia, Georgia walikuwa wananunua drones kutoka Israel.
Hio ni miaka ya 2006-2008 hapo.
Serikali ya Mexico waliweka pesa katika kampuni hio, Zile drones za Israel zilikuwa zinakuwa hacked na Russians na kutua juu ya ardhi, Russians walikuwa wanaingilia signal.
Baada ya Georgia kufanya majaribio katika drones za HYDRA waligundua kwamba zina uwezo mkubwa kiusalama na kiulinzi kuliko drones za Israel, ulipotaka kuzi hack zilikuwa zinarudi base zenyewe zinajiongoza, yaani zikihisi threat au kuwa hacked zinarudi zilipotoka hata kama signal zimekuwa jammed, can you imagine?
Georgia wakaomba wauziwe drones na Mexico, Mexico waka kataa kwa sababu wangeingia kwenye migogoro ya kisiasa na Israel. Kumbe Israel kuna wapiga deal baadhi waliuza codes za zile drones kwa Russians kwa makubaliono Russian atawapa codes za s300 zilizoko kule Syria, na ikawa hivyo, lakini zile drones za Hydra ni noma na nusu, hata kama angetokea mpiga deal ana codes, zilikuwa haziwezi kuwa hacked.
Mexico ni top exporter wa high tech products katika nchi za Latin America, ndio maana kuna kipondi US walianza kufikiri kutoa viwanda China na kuviweka Mexico.
Nakuambia hivyo kwa sababu, kuna nchi zina tech za juu na wapo kimya, na wanafanya maajabu, yani kuna majitu yana akili duniani, mpaka uwe una chimba vitu, lakini wafuatiliaji wachache ndio wanajua hizi taarifa, wachache ambao ni werevu katika majority ndio wanajua ukweli. Ndio wana monitor hii dunia wakiwacheka wajinga wengi waliodanganywa na medias.
Mi nachimba vitu hadi kwenye vyanzo huvipati google.
Changamoto sana humu.Atabisha...
unajua kusema una IQ kubwa na wakati hatuoni ulichofanya ni sawa na kusema una degree ya ujenzi alaf unapewa ujenge nyumba unashindwa yani hizo ni sawa na kuleta hadithi za abunuasiJamii za watu wenye high IQ ni kutoka Asia mashariki ambao ni hao wachina, wajapan, wakorea hii ni tafiti ya kimataifa yupo sahihi
ubabe waoneshe mara ngapi kwani sasa hivi wanachokifanya apo ni kipi hezbolah na iran wamekua ni kama mbwa wanaobweka ndani ya bandaWaonyeshe ubabe wao sasa, watu wenye akili nyingi duniani kote, matajiri na wenye ushawishi mkubwa sana katika serikali ya USA, wenye nguvu za kijeshi na hawawezi kupigwa na taifa lolote....🤣🤣🤣🤣
Sasa watumie uwezo wao kijeshi, watumie akili zao ku neutralize hao arabs wasiendelee kuwapiga sio lazima watumie nguvu, maana ya kuwa na akili nyingi ni unakuwa flexible unatumia akili ulizonazo kutatua chagamoto katika mazingira yanayo kuzunguka.
Israel hawana maajabu mzee.
Ngoja nikupe za chini kabisa ambazo niliingia mwenyewe kutafuta info. na huzipati kokote, nachokuambia ni email zilizovuja usiniulize nimetoa wapi..
Kuna kampuni ya Mexico ilikuwa inaitwa HYDRA, hawa jamaa walikuwa wanatengeneza drones, katika kipindi cha mapigano kati ya Georgia na Russia, Georgia walikuwa wananunua drones kutoka Israel.
Hio ni miaka ya 2006-2008 hapo.
Serikali ya Mexico waliweka pesa katika kampuni hio, Zile drones za Israel zilikuwa zinakuwa hacked na Russians na kutua juu ya ardhi, Russians walikuwa wanaingilia signal.
Baada ya Georgia kufanya majaribio katika drones za HYDRA waligundua kwamba zina uwezo mkubwa kiusalama na kiulinzi kuliko drones za Israel, ulipotaka kuzi hack zilikuwa zinarudi base zenyewe zinajiongoza, yaani zikihisi threat au kuwa hacked zinarudi zilipotoka hata kama signal zimekuwa jammed, can you imagine?
Georgia wakaomba wauziwe drones na Mexico, Mexico waka kataa kwa sababu wangeingia kwenye migogoro ya kisiasa na Israel. Kumbe Israel kuna wapiga deal baadhi waliuza codes za zile drones kwa Russians kwa makubaliono Russian atawapa codes za s300 zilizoko kule Syria, na ikawa hivyo, lakini zile drones za Hydra ni noma na nusu, hata kama angetokea mpiga deal ana codes, zilikuwa haziwezi kuwa hacked.
Hivyo Israel na Russia walikuwa wanapiga deal, Israel anamuuza Georgia na Russia anamuuza Syria, ndio lile shambulizi Israel walikwenda kupiga Syria wakasema wame jam s300 kumbe Russia kawapa codes, Iran ikatuma engineers kwenda kufanya maintenance baada ya hapo Israel hawakuweza ku hack.
Mexico ni top exporter wa high tech products katika nchi za Latin America, ndio maana kuna kipondi US walianza kufikiri kutoa viwanda China na kuviweka Mexico.
Nakuambia hivyo kwa sababu, kuna nchi zina tech za juu na wapo kimya, na wanafanya maajabu, yani kuna majitu yana akili duniani, mpaka uwe una chimba vitu, lakini wafuatiliaji wachache ndio wanajua hizi taarifa, wachache ambao ni werevu katika majority ndio wanajua ukweli. Ndio wana monitor hii dunia wakiwacheka wajinga wengi waliodanganywa na medias.
Mi nachimba vitu hadi kwenye vyanzo huvipati google.
Hii ni tafiti ya chuo cha kimataifa cha Cambridge University toka Uingereza View attachment 2793425unajua kusema una IQ kubwa na wakati hatuoni ulichofanya ni sawa na kusema una degree ya ujenzi alaf unapewa ujenge nyumba unashindwa yani hizo ni sawa na kuleta hadithi za abunuasi
kama israel sio wababe kwa nini Shekh Nasralah anishi chini kwenye mapango hadi leo? , si analindwa na Iran aya mwambie atoke front line basiWaonyeshe ubabe wao sasa, watu wenye akili nyingi duniani kote, matajiri na wenye ushawishi mkubwa sana katika serikali ya USA, wenye nguvu za kijeshi na hawawezi kupigwa na taifa lolote....🤣🤣🤣🤣
Sasa watumie uwezo wao kijeshi, watumie akili zao ku neutralize hao arabs wasiendelee kuwapiga sio lazima watumie nguvu, maana ya kuwa na akili nyingi ni unakuwa flexible unatumia akili ulizonazo kutatua chagamoto katika mazingira yanayo kuzunguka.
Israel hawana maajabu mzee.
Ngoja nikupe za chini kabisa ambazo niliingia mwenyewe kutafuta info. na huzipati kokote, nachokuambia ni email zilizovuja usiniulize nimetoa wapi..
Kuna kampuni ya Mexico ilikuwa inaitwa HYDRA, hawa jamaa walikuwa wanatengeneza drones, katika kipindi cha mapigano kati ya Georgia na Russia, Georgia walikuwa wananunua drones kutoka Israel.
Hio ni miaka ya 2006-2008 hapo.
Serikali ya Mexico waliweka pesa katika kampuni hio, Zile drones za Israel zilikuwa zinakuwa hacked na Russians na kutua juu ya ardhi, Russians walikuwa wanaingilia signal.
Baada ya Georgia kufanya majaribio katika drones za HYDRA waligundua kwamba zina uwezo mkubwa kiusalama na kiulinzi kuliko drones za Israel, ulipotaka kuzi hack zilikuwa zinarudi base zenyewe zinajiongoza, yaani zikihisi threat au kuwa hacked zinarudi zilipotoka hata kama signal zimekuwa jammed, can you imagine?
Georgia wakaomba wauziwe drones na Mexico, Mexico waka kataa kwa sababu wangeingia kwenye migogoro ya kisiasa na Israel. Kumbe Israel kuna wapiga deal baadhi waliuza codes za zile drones kwa Russians kwa makubaliono Russian atawapa codes za s300 zilizoko kule Syria, na ikawa hivyo, lakini zile drones za Hydra ni noma na nusu, hata kama angetokea mpiga deal ana codes, zilikuwa haziwezi kuwa hacked.
Hivyo Israel na Russia walikuwa wanapiga deal, Israel anamuuza Georgia na Russia anamuuza Syria, ndio lile shambulizi Israel walikwenda kupiga Syria wakasema wame jam s300 kumbe Russia kawapa codes, Iran ikatuma engineers kwenda kufanya maintenance baada ya hapo Israel hawakuweza ku hack.
Mexico ni top exporter wa high tech products katika nchi za Latin America, ndio maana kuna kipondi US walianza kufikiri kutoa viwanda China na kuviweka Mexico.
Nakuambia hivyo kwa sababu, kuna nchi zina tech za juu na wapo kimya, na wanafanya maajabu, yani kuna majitu yana akili duniani, mpaka uwe una chimba vitu, lakini wafuatiliaji wachache ndio wanajua hizi taarifa, wachache ambao ni werevu katika majority ndio wanajua ukweli. Ndio wana monitor hii dunia wakiwacheka wajinga wengi waliodanganywa na medias.
Mi nachimba vitu hadi kwenye vyanzo huvipati google.
Ahsante sana mkuu, kama yule mgunduzi wa ile game ya Tetris Alexey Pajitnov, alikuwa ni Russian, na ali code from scratch akatenegeneza ile game iliyokuja kutajirisha watu nchi za magharibi.Changamoto sana humu.
Utofauti uliopo baina ya jamii za Asia mashariki hao wachina, wajapan na wakorea dhidi ya jamii za ulaya walipo ishi hao wayahudi ni katika Collectivism vs Individualism.
Wanasayansi wa ulaya walinufahika na wananufaika na individualism wakati wanasayansi wa Asia mashariki tamaduni zao za collectivism kwa asilimia kubwa zinawaficha.
Kwenye mapango ya wapi? kama wanafahamu anaishi kwenye mapango na wao wana nguvu kijeshi, intelligence ya juu si wamtafute wapige hata na drones wammalize, kwani mtu akijificha kwenye mapango missile linashindwa kufika? 🤣 🤣 🤣 , mzee unaishiwa hoja,kama israel sio wababe kwa nini Shekh Nasralah anishi chini kwenye mapango hadi leo? , si analindwa na Iran aya mwambie atoke front line basi
Yah mfumo wa maisha unaathiri sana hizi jamii nyingine kutambulika na kunufahika na jasho lako pekee watu wa magharibi ndio watu wa mwanzo kuthaminisha maana ya haki miliki.Ahsante sana mkuu, kama yule mgunduzi wa ile game ya Tetris Alexey Pajitnov, alikuwa ni Russian, na ali code from scratch akatenegeneza ile game iliyokuja kutajirisha watu nchi za magharibi.
Serikali ya Russia walikuwa wanasema ile game ipo chini ya serikali, lakini kuna jamaa walitoka USA wakaenda hadi kwa yule jamaa na kumshawishi waondoke nae waende US, huko atatajirika, atakuwa maarufu.
KGB walikuwa wana monitor kwa ukaribu.
Russian wanakuambia ni mali ya serikali, wakati jamaa anaambiwa aende USA awe mmiliki anaye tambulika wa hio game, hii game tumecheza sana utotoni, lakini ukifuatilia historia yake utashangaa sana, jamaa amedevelop hii game kwenye computer ambayo wale wamarekani walipofika hawakuamini.
Ni old Computer, halafu haikuwa na graphics nzuri wala rangi kwenye kioo, jamaa alitumia brackets [ ] kutengeneza hizo block.
Mwisho wa siku alitoroka Russia na kwenda nje, jamaa alitajirika na akauza game kwa kampuni nyingi za games. Lakini kipindi yupo Russia hakufahamika kabisa na dunia haikumjua.
Kama ulivyisema ni mifumo ya kiuongozi ikiwemo ujamaa na ubeapri, lakini wanasayansi walikuwepo wengi tu, na wengine kazi na michango yao ilionekana ni serikali imefanikisha pasipo wao kupewa credits au kutotaka kujitangaza n.k..
unajua kuna kitu hapa naomba tuelewe, tunaposema IQ kubwa mana yake akili kubwa au sio? akili kubwa mana yake uwezo wa kutatua changamoto zinazojitokeza kwenye jamii ni mkubwa. hapa ndo tunaongelea innovation au ubunifu wa kisayansi katika kusolve matatizo yetu ya kila siku kama binadamu.Hii ni tafiti ya chuo cha kimataifa cha Cambridge University toka Uingereza View attachment 2793425
Products and Services
Discover Content
Home
- Home
- >Books
- >In the Know
- >Racial/Ethnic Group IQ Differences Are Completely Environmental in Origin
28 - Racial/Ethnic Group IQ Differences Are Completely Environmental in Origin
from Section 6 - Demographic Group Differences
Published online by Cambridge University Press: 22 October 2020
Russell T. Warne
Show author details
Chapter
Book contents
Get access
Share
Cite
Summary
Of all the scientific facts about intelligence research, there is one that I would give anything to change: the existence of average differences in IQ scores across different racial or ethnic groups. These differences appeared in the early days of intelligence testing (e.g., Goodenough, 1926; Morse, 1914; Pressey & Teter, 1919) and have persisted into the twenty-first century (e.g., Carman, Walther, & Bartsch, 2018; Giessman, Gambrell, & Stebbins, 2013; P. L. Roth et al., 2001). Among the most studied racial or ethnic groups, people of East Asian descent usually have the highest average IQ, followed by people of European ancestry.
TypeChapter
Information
In the Know
Debunking 35 Myths about Human Intelligence
, pp. 247 - 263
DOI: https://doi.org/10.1017/9781108593298.030[Opens in a new window]
Publisher: Cambridge University Press
Print publication year: 2020
Ni kitu gani hizo jamii za Asia mashariki China, Japan, Korea hawawezi kufanya katika sayansi ?
mzee nasralah na hamas wote wapo kwenye mahandaki drone zinafikeje chini kwenye mahandaki mzee handaki liko chini kilomita 500 umbali wa dar na mbeya drone inafikaje huko?Kwenye mapango ya wapi? kama wanafahamu anaishi kwenye mapango na wao wana nguvu kijeshi, intelligence ya juu si wamtafute wapige hata na drones wammalize, kwani mtu akijificha kwenye mapango missile linashindwa kufika? 🤣 🤣 🤣 , mzee unaishiwa hoja,
Kijana sijui mzee wenda una tatizo mahali.unajua kuna kitu hapa naomba tuelewe, tunaposema IQ kubwa mana yake akili kubwa au sio? akili kubwa mana yake uwezo wa kutatua changamoto zinazojitokeza kwenye jamii ni mkubwa. hapa ndo tunaongelea innovation au ubunifu wa kisayansi katika kusolve matatizo yetu ya kila siku kama binadamu.
sasa ni kweli kwamba hao wakorea sijui na wachina so far wanajitahidi kufanya kila kitu katika sayansi, lakini hakuna walichobuni wao yani vyote wanavofanya sa ivi ni elimu ambazo walienda kuzipata ulaya yani ni ubunifu ule ule wa mzungu, wao so far hawana ubunifu wao, labda wameongeza ubunifu kutoka ule aliofanya mzungu, na pia bado kuna baadhi ya sehemu hawajawafikia wazungu ila wanajitahidi ila kuna sehem kuwafikia wazungu bado
Hii habari ya Drones za HYDRA nimeandika 2021 hapa au nikupe link? hakuna aliyekuwa anafahamu hapa na source zako kutoka wikipedia na google, mi nakupa vitu adimu. exclusive hujawahi sikia popote.mzee hizo taarifa za kupeana code za s300 si zinajulikana ndio mana israel anapiga damascus mda wowote anapojiskia au hujui hilo?
Handaki la hivyo hakuna oxygen, hebu acha uongo, Hezbollah walishawachezea wayahudi, Israel ilifanya intelligence ya miaka 6 kutafuta ni wapi wameweka makombora wakapige, siku wanaenda kumbe hamna kitu bali wali wa fool na kuwapoteza. Makombora yalikuwa pengine kabisa, na hayakuwa kwenye mahandaki.mzee nasralah na hamas wote wapo kwenye mahandaki drone zinafikeje chini kwenye mahandaki mzee handaki liko chini kilomita 500 umbali wa dar na mbeya drone inafikaje huko?
sawa tuanze na china, twende kazi, naifahamuKijana sijui mzee wenda una tatizo mahali.
Tuanzie hapa.
Unafahamu historia ya China kuanzia Ancient China ( Dynasties zote) kuja Modern China (Republic of China mpaka sasa People's Republic of China ) ?
Tuwaweke pembeni kwanza Korea na Japan.
Kama historia ya China yote unaifahamu kwa nini unaandika upuuzi kuwa hawajahi kubuni chochote zaidi ya kucopy na kupaste unajitambua kweli ?sawa tuanze na china, twende kazi, naifahamu
mambo ya kufeli intelijinsia hua yanatokea ni vitu vya kawaida hata US na Urusi wenyewwe hua wanafeli, so usianze sasa kuongea propaganda ebu ongea real facts mzeeHandaki la hivyo hakuna oxygen, hebu acha uongo, Hezbollah walishawachezea wayahudi, Israel ilifanya intelligence ya miaka 6 kutafuta ni wapi wameweka makombora wakapige, siku wanaenda kumbe hamna kitu bali wali wa fool na kuwapoteza. Makombora yalikuwa pengine kabisa, na hayakuwa kwenye mahandaki.
Hapo sio handaki ni issue ya kiitelejensi, hao Hezbollah usiwachukulie poa, wana special forces kama IDF na USA, wanafanya covert operations, wana majasusi na kila kitu, we kaa kwenye kahawa uwe unadanganywa, hao Hezbollah 150 walizuia askari 5000 wa Israel wakiwa na air support kuchukua kijiji, unafahamu hilo?, ndio maana nakuambia Israel mnawakuza tu.. sasa watu 5000 wanazuiwa na skari 150, na uzuri IDF wenyewe wanakiri Hezbollah wapo trained si kawaida.