Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

tunaongelea gunduzi ambazo zimebadilisha maisha haya tunayoishi sa ivi hii inayokupa jeuri ya kuongea pumba humu jamii forum
Gunduzi zote za kisayansi zimeleta mabadiliko, safari ya km 100 huwa inaanza na hatua moja. Hivyo ndivyo ilivyo.
Hata mwanadamu anazaliwa, anatambaa, anaaongea, anatembea hadi anakuwa mtu mzima, kuna gunduzi zisingefanyika leo hii kuna vitu visinge kuwepo kama hizi gunduzi zisingetokea.

Nakuuliza hizo gunduzi nazotaka kusikia ni zipi, Computer technology, robots, Artificial Intelligence au virtu gani?
 
Dogo wewe ni mpumbavu.

Kwa hiyo
Printing
Paper
Gunpowder
Compass

Hazijabadili maisha ya leo ? Changamoto sana humu
unajua jaribu kua muelewa, point yetu ya msingi hapa ilikua ni IQ, kama unasema watu fulani wana IQ ina maanisha tulitakiwa tuendelee kuona vumbuzi kuanzia kipindi hicho hadi sa iv, sasa swali langu hapa ni je? hivo vumbuzi ziliendelea au ziligota mana IQ si bado ipo au IQ ilikuja kuishia njiani?mana mnakuja kuleta apa hadithi za abunuasi kwamba wachina wanongoza kwa IQ haya mnaambiwa leteni vumbuzi walizotufanyia mnaleta sijui enzi za kupanda mangalawa
 
Nimekupa vumbuzi umebaki kudemadema kama mjinga.

Ulitaka China igundue nini sasa ?

 
gunduzi za wachina ziliishia wapi ziliendelea au ziligota njiani? nijibu.
 
tunaongelea uvumbuzi mzee naona unaleta hadithi
Unajua China kuna kitu kinaitwa photovoltaic highway, barabara inakuwa solar, gari inatembea na wakati huo huo inachajiwa.


Ngoja ni copy na ku paste.
Usually those are not publicized much, you really have to follow close and do some digging.

Quantum communication satellite: (matured technology - Quantum Mechanics)

the world’s first quantum communication satellite is going to launch July 2016.

中国发射全球首颗量子通讯卫星 - 英语点津 - 英语学习站_爱词霸

liquid motor: (in development - nano tech)

feeds on aluminum foils. video of motor working publicized in 2015 by Tsinghua University.


chameleon scales: (in development - nano tech)

Can detect environment and change to nearly all colors in the visible spectrum. Published in <ASC nano> article on January 2016. work done by Wuhan University.

武汉大学研制出人造变色龙 可用于士兵变色伪装

Light driven material: (in development - material science)

The first of its kind that is driven by light on a macro seeable scale, now solar flight is no longer a fiction. Research result made Public on June 2015. work done by Nankai University.

牛!中国研获新材料:光能转化率提升1000倍 - 石墨烯,太阳帆 - IT之家 - article

http://baidu.ku6.com/watch/08011178154841988265.html?page=videoMultiNeed - video of material working

。。。。

then there is also some on biology, such as a chinese research manipulated the genes of two eggs from the same female specie and created life by fusing those two eggs.

you can read some of them here. China seems to be doing pretty good on gene manipulation.


Hizo vumbuzi unazoona za maana wanazo nyingi sana, Yaani kwangu hazina maana kwa sababu bila vumbuzi za kwanza leo wasingefika hapo.

Hizo vumbuzi unazotaka kusikia za computers n.k zipo nyingi sana hatuwezi maliza hapa.

China ndio nchi ya kwanza kujenga nuclear reactor ambayo ni 4th generation.
Ndio wa kwanza kuja na 5G niendelee...
 
China hapo kila field anaongoza.
Huyu mtu anataka kila kitu China igundue kitu ambacho hakiwezi kuwa.

Na kama ulivyosema mambo yanabadilika tofauti na awali hivyo teknolojia kuiona ni bora hatupaswi kudharau wafungua njia wa mwanzo maana hata hizi teknolojia bora sasa baadae zitaonekana dhaifu maana dunia inabadilika.

Leo China ina lead kila aina ya teknolojia ukigusa hapa duniani mtu asie mfuatiliaji atabisha na hizo ndizo IQ za hawa zinapo zungumziwa.
 
Hoja yako haiwezi pinga wataalamu na wasomi walisema nchi za Japan, South Korea, Singapore n.k wana IQ kubwa.

Huwezi kupinga hilo, shida yako ulitaka Israel ndio wawe na IQ kubwa, kusoma udaktari, ukawa daktari bingwa uka focus na matibabu ya moyo kwa miaka 20, baadae ukiwa na experience ya kutosha ukafanya gunduzi ya kutibu moyo kwa njia rahisi na kupewa tuzo ya nobel haihusiani na kuwa na IQ kubwa, unaweza kuwa na IQ average kama jews uka focus kwenye elimu na ukafanya gunduzi kubwa.

Kwa sababu unaamka asubuhi unafanya kitu kimoja, wiki moja, mwezi, mwaka, miaka 10, miaka 15, miaka 20 unachimba kitu kimoja, lazima uwe master.

Chinese na Japanese IQ yao ni kubwa.

Mtu mwenye IQ akiamua ku focus, na akiwa interested ndio hayo unaona China kapata uhuru 1949 leo anaitishia USA kiuchumi.
South Korea leo wanatisha na tech zao za hatari,

Hao Israel wako wapi?
 
 
mzee mchina bado hajaikuta ulaya kwa technology bado, ila anapambana akikomaa zaidi ndo anaweza mpita kama ulaya wakizubaa, ila so far bado, mfano military bado anajifunza
 
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa historia hakuna asiyemjua Napoleon Bonaparte, kazaliwa 1769 akafariki 1821. Huyu jamaa alikuwa mwanasiasa na commander wa jeshi la Ufaransa, amepigana vita vikubwa na akashinda.

Huyu ndiye alileta mapinduzi makubwa katika organizations za kijeshi na mafunzo kwa ujumla, Falsafa zake hadi leo vyuo mbali mbali vya kijeshi wanajifunza.

Huyu jamaa alisema namnukuu "China is a sleeping giant, when she wakes she will shake the world" .

Kafa 1821, China inapata uhuru 1949, alichosema ndio hiki dunia inakiona sasa hivi, kweli kabisa.

Ndio maana nilimuambia huyu jamaa kuna watu wenye akili ambao wanaifahamu dunia, na wanajua ya mbeleni, kama huyo Napoleon, aliiona China mbali sana lakini walikuwa wamelala.
Imepita zaidi ya miaka 100 ndipo China inapata uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…