Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Upo sahihi sana. Tatizo kubwa ni mfumo wetu wa elimu upo influenced zaidi na mabwana zetu waliotutawala yale yaliyo nje na mabwana zetu kama hayo ya wachina wengi hawafahamu.

Bila juhudi binafsi za kufahamu historia ya dunia na mengi yalio nje ya mabwana zetu huwezi fahamu.

Mfano mfumo wetu wa elimu mpaka leo kwenye somo la historia haitambui kama wachina ndio jamii za mwanzo mwanzo kufika East Afrika na kufanya biashara na kuondoka lakini haya hayapo.

Ni mengi sana ya kuelimisha yapo nje ya mfumo wetu wa elimu kuliko yaliyopo ndani wanafunzi wanalishwa mengi makapi
 
mzee mchina bado hajaikuta ulaya kwa technology bado, ila anapambana akikomaa zaidi ndo anaweza mpita kama ulaya wakizubaa, ila so far bado, mfano military bado anajifunza
Kwa technology hapana, China ipo mbali kwa tech kuliko nchi moja moja za ulaya, ni bora ungeendelea na point yako ya gunduzi, kwa maana ukisema Ulaya ni bara na China ni nchi hakuna usawa hapo, lakini kwa nchi moja moja, hakuna kuzi pale ulaya anaikuta China hivi sasa, kwa sababu hata kiuchumi hakuna nchi inaikuta Japan ipo Ulaya , Ulaya anayeongoza kwa GDP ni Germany ana kama $3.8B, wakati China ina $14.72B karibu mara 4 yake... hivyo uwezo wa China kuwekeza kwenye tech, research and development wapo mbali...
 
Always majority huwa wapo wrong, ni kama mbuzi au kondoo, unaipa majani inenepe, ikiwa inakula majani inaona umeipenda sana, kumbe unasubiri akinona unachinja.

Ndio hawa wanalishwa ujinga, lakini lengo ni kuwamaliza, ukisha mtawala mtu kifikra umemmaliza.


Aisee, Week End Njema mzee, ngoja nitoke nikapige mbili tatu hapo bar ya jirani, kwa maana najua leo pilau nyama ipo 🤣.

Mkuu May you have a prosperous Sunday!, spend this beautiful Sunday with family and friends.. Thanks...
 
Miungu ya kiarabu allah ina chuki kubwa sana kwa wayahudi na wakristo,dini ya kiislamu ni dini ya kishetani

Onyesha ni wapi uislamu unachukia wasio waislamu?

Uislamu unatutaka tupendane na sio kuchukiana, iwe kwa asiekua muislamu ama muislamu, wote tupendane
 
Onyesha ni wapi uislamu unachukia wasio waislamu?

Uislamu unatutaka tupendane na sio kuchukiana, iwe kwa asiekua muislamu ama muislamu, wote tupendane
Yaani mpaka mna sala maalumu ya kuwaombea mabaya wakristo,sasa hiyo dini yenu si ya kishetani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…