Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Asante kwa kuedit hiyo picha.. Ni kambi moja na Gazeti la UhuruView attachment 550520
Yanga ni sehemu salama sana kwa wachezaji kuliko Simba!!
Sina bibi!!Chukua picha ya bibi yako akiwa binti halafu linganisha akiwa mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 550520
Yanga ni sehemu salama sana kwa wachezaji kuliko Simba!!
Unajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha sana mkuu Ushimen!2013 alionekana muhenga...[emoji13] [emoji13]
2017 amekua kijana......[emoji12] [emoji12]
Uganda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa Tambwe alikuwa na mwezi mmoja akitokea Uganda kujiunga na Simba.
OVA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan we unavyoona hata kama siku znaenda mbele wew unaweza ukawa unarudi nyumaUnajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tatizo picha ttz picha ya zamani wakati yupo mkiani anaonekana mzee,halafu ya hivi karibuni akiwa na timu ya wananchi anaonekana kijana!Wewe zombi tu inamaana miaka 20 iliyopita ulikuwa km ulivo mbona mna mifano ya kipuuzi,kumbuka alikuwa kulipwa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo nyumba aliyokaa Tambwe wa 2013 Iko Bujumbula, napajua. jamaa alivaa jezi ya simba kabla ya kusajiliwa kwa kuwa alikuwa na ndoto kubwa ya kukipiga Msimbazi.
Mbona unajiloanisha kwa mapavu? Au dawa imeingia penyewe? Tulia hivyo hivyo dose ikamilikeUnajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app