Jionee tofauti, Amisi Tambe wa Simba 2013 vs wa Yanga mwaka 2017

Hivi yanga lile bakuri lenu bado lipo coz niliwahurumia niliwachangia kajero
 
hahahha mimi huwa napenda sana hizi tambo za watani wa jadi,nakua nauona ule utanzania halisi watu tunataniana na kucheka pamoja.. [HASHTAG]#SIMBA[/HASHTAG] dam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

ushaona chadema ana njaa za ajabu.
 
Kwan we unavyoona hata kama siku znaenda mbele wew unaweza ukawa unarudi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga wa zamani walisema: Kichwa hakikondi wala hakinenepi

Kwa picha hii usemi huo umekuwa proved wrong.

Mhenga wa sasa (Makoye Matale) nasema: Kichwa hukonda na hunenepa.
 
hiyo nyumba aliyokaa Tambwe wa 2013 Iko Bujumbula, napajua. jamaa alivaa jezi ya simba kabla ya kusajiliwa kwa kuwa alikuwa na ndoto kubwa ya kukipiga Msimbazi.
66afe6784c4605768507384739bf9c4b.jpg
hapo alikuwa na gilber kago,kwenye kambi ya mikia tandale kwa tumbo
 
Unajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajiloanisha kwa mapavu? Au dawa imeingia penyewe? Tulia hivyo hivyo dose ikamilike
 
Acheni uchochezi! Tambwe hakuwa hivyo maana tangu amejiunga simba tupo na tunafuatilia.
 
Back
Top Bottom