LGE2024 Jionee tofauti kati ya Mikutano ya CCM na ya CHADEMA iliyofanyika eneo moja la Kariakoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nyie wafuasi wa Lissu ni wapumbavu sana, hivi huo ujinga wenu ndio mlitaka muupeleke kariakoo kwenye eneo la kibiashara!!?
Nani mpumbavu?

Nyie CCM au Chadema?

Kwa hiyo CCM pekee ndo mnaweza kufanya mikutano ya siasa eneo la biashara Kariakoo ila sio Chadema?
 
Du! Sikujua kuwa wanawafikisha vizuri. Sijui wanawafikishaje. Je kweli mmefikishwa au kufikirishwa mmefikishwa huko mlikofikishwa hadi mnageuzwa machawa, kunguni, funza, na viroboto?
Utajua tu wakati ukifika. Stay tuned.
 
Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.

Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kieleweke.
Kwenye Qur'an tukufu mwenyezi Mungu anasema Indeed, Allah will not change the condition of a people until they change what is in themselves.".
 
Kwenye Qur'an tukufu mwenyezi Mungu anasema Indeed, Allah will not change the condition of a people until they change what is in themselves.".
Nakubaliana na wewe!
 
Hawa wajinga waliruhusu mfumo wa vyama vingi kwa pressure ya kukatiwa misaada tu.

Na sasa tuziombe Nchi zinazowapa misaada zizuie mpaka hapo watakapo heshimu Demokrasia ya ya Vyama vingi.
 
Kunakaribia kupambazuka wameshaishiwa pumzi
 
Nionyeshe jukwaa la CHADEMA na viti watu waliwa wamekaa kwenye viti

Heche yuko kwenye gari na kipaza sauti barabarani hilo ndilo eneo la mkutano kwenye barabara?
Hamna hoja
 
Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.

Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kieleweke.
Waongoze wenzako kesho mkafanye Mkutano pale. Kama una ubavu lakini.
 
Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.

Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kieleweke.
Sure hii ndo solution,,ukienda nao kiulalo Lalo mbona Kaz ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…