LGE2024 Jionee tofauti kati ya Mikutano ya CCM na ya CHADEMA iliyofanyika eneo moja la Kariakoo

LGE2024 Jionee tofauti kati ya Mikutano ya CCM na ya CHADEMA iliyofanyika eneo moja la Kariakoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.

Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kieleweke.
Achana na haya mawazo mkuu. Hii nchi haihitaji matendo hay. Tuishi kwa upendo na kutafuta namna bora ya kuweka mambo sawa.
 
Wewe uliona wapi mtu anaishi na familia yake kwenye nyumba ya mabati na akatoka hapo akawa na akili timamu??ULISIKIA WAPI?? watasema ooh serikali haina pesa lakini za kununua mashangingi zipo na tena zinatengwa kabisaa............
 
Mungu fundi sana!

Polisi wakiendelea kutumiwa vibaya na CCM ambao wanawanyonya na kuwafanya waishi maisha magumu leo wamezuia Mkutano wa Chadema uliopaswa kufanyika pale Kariakoo

Angalia picha hapa chini👇
View attachment 3312539View attachment 3312538

Cha kufurahisha zaidi Polisi hawahawa wamekuwa wanawaruhusu CCM kufanya Mikutano eneo hilo hilo la Kariakoo bila kuwazuia, kuwakamata wala kuwabughudhi.

Picha za Mikutano ya CCM inayofanyika hapo Kariakoo bila kubughuziwa na Polisi hizi hapa👇
View attachment 3312542View attachment 3312544View attachment 3312545View attachment 3312547

Kweli hatuna budi kuwaelewa Chadema wanavyosema No Reform No Election

Lord denning
Arusha
Aibu kubwa sana
 
Nionyeshe jukwaa la CHADEMA na viti watu waliwa wamekaa kwenye viti

Heche yuko kwenye gari na kipaza sauti barabarani hilo ndilo eneo la mkutano kwenye barabara?
Kwamba hadi jukwaa linakamilika hakutakuwa na zengwe?
 
Back
Top Bottom