LGE2024 Jionee tofauti kati ya Mikutano ya CCM na ya CHADEMA iliyofanyika eneo moja la Kariakoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ili mka muue! Hivi kama hoja za CCM zinajitosheleza kwanini mnakimbilia mbeleko ya jeshi la polisi?
Yeye si mwamba?

Mageuzi mnaleta mmejificha na majina feki?

Ukiona mtu anajiita mwanaharakati anatumia majina feki huyo ni boya na jitu lioga
 
Inasikitisha sana, hii nchi imekuwa hatimiliki ya watu wachache ambao wamejimilikisha Kila kitu, ukiwa si Mwana CCM unaonekana ni adui na Hauna haki
 
Lengo la Heche na genge lilikuwa OVU. Nalipongeza jeshi la polisi kuwadhibiti.
 
Reactions: UCD
Huna huo ujanja

Wewe kima weka jina lako hadharani
🤣 aache kuwa key board warrior sio ?

Mimi hapa naweka jina langu

ndesaruo Mushi

Waje kunikamata kama Kama wanaweza

. Halafu Polisi wa Tanzania wananuka sana jasho
Hivi kwa nin? Hawaogi au
 
CCM ni wastaarabu wanafanya mikutano kama watu wenye akili siyo hao nyumbu Chadema!
 
Huna huo ujanja

Wewe kima weka jina lako hadharani
Ili mka muue! Hivi kama hoja za CCM zinajitosheleza kwanini mnakimbilia mbeleko ya jeshi la polisi?ina maana kimeshindwa kabisa kujibu hoja bila nguvu ? Huo. Wewe ndio kima?
Yeye si mwamba?

Mageuzi mnaleta mmejificha na majina feki?

Ukiona mtu anajiita mwanaharakati anatumia majina feki huyo ni boya na jitu lioga
Tatizo mnaua mnanuka damu
 
Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.

Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kieleweke.
Hapana.

Twende taratibu, jambo moja baada ya jingine.
Sasa hivi mkazo uwe kwenye NRNE. Hatuwezi kwenda mbio mbio hadi huko bila mpangilio madhubuti.

Unataka kujiingiza kwenye mtego wao kama mkizi mwenye hasira?

Sasa hivi CHADEMA inaeleweka vizuri zaidi na waTanzania, kuliko kujiharibia tena kwa mambo ya aina hiyo unayo yashauri.

Hapana.
 
Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.

Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kieleweke.
Kariakoo kwenyewe umeshindwa kufanya chochote. Angalia usije ukachomwa wewe mwenyewe. Muulize Lema walivyomfanya huku Dar sasa anatukana tu alifikiri anawafuasi wa kutosha Dar kumbe wanamchora tu.

Hata wewe ulipo usifikiri unawafuasi wengi kumbe wanakuchora tu ukikianzisha wewe ndio utachoma moro kama kibaka.
 
Kwa kiburi walichonacho CCM hakuna lugha ya kistaarabu wataielewa. Tuende nao kwenye lugha watakayoielewa.
 
Kwa kiburi walichonacho CCM hakuna lugha ya kistaarabu wataielewa. Tuende nao kwenye lugha watakayoielewa.
Siyo sasa, wakati waTanzania wakiendelea kuelewa tofauti kubwa iliyopo kati ya CCM na CHADEMA ya sasa.
 
Siyo sasa, wakati waTanzania wakiendelea kuelewa tofauti kubwa iliyopo kati ya CCM na CHADEMA ya sasa.
CCM ni mashetani na wauaji. Hakuna lugha ya kipole wataielewa hawa.
 
CCM ni mashetani na wauaji. Hakuna lugha ya kipole wataielewa hawa.
Mashetani hao watafurahi sana CHADEMA wakiingizwa kwenye mkenge huo unaoupendekeza wewe kwa wakati huu. Hiyo itakuwa kama ni kuwaokoa mashetani toka kwenye jehenamu linalo wasogelea kila siku.
 
Hawa ni wenye nchi
 
Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.

Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kielewek
Naona uko nyuma ya kibodi unatapika maneno.
 
Wanaosaidia kukwamisha ukombozi, nao wanauhitaji sana ,kwa sababu kikokotoo na unyonyaji mwingine vyote vinawahusu ,ni huruma sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…