Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Achana na haya mawazo mkuu. Hii nchi haihitaji matendo hay. Tuishi kwa upendo na kutafuta namna bora ya kuweka mambo sawa.Imefika kipindi sasa hakuna kumuachia Mungu. Kila mwananchi aamue mwenyewe awafanye nini CCM na viongozi wao.
Kama kuchoma nyumba zao tuchome, mali zao tuchome kimya kimya hadi kieleweke.
Huna hiyo jeuriKwa kiburi walichonacho CCM hakuna lugha ya kistaarabu wataielewa. Tuende nao kwenye lugha watakayoielewa.
Huyo kibaka siku zake zinahesabikaAchana na haya mawazo mkuu. Hii nchi haihitaji matendo hay. Tuishi kwa upendo na kutafuta namna bora ya kuweka mambo sawa.
Utaelewa tu kati ya nyie CCM na Wananchi nani vibaka.Huyo kibaka siku zake zinahesabika
Tutaelewana tu. We endelea na ulevi wako wa madaraka.Huna hiyo jeuri
Jaribuni muone moto
Acha upumbavuTutaelewana tu. We endelea na ulevi wako wa madaraka.
Aibu kubwa sanaMungu fundi sana!
Polisi wakiendelea kutumiwa vibaya na CCM ambao wanawanyonya na kuwafanya waishi maisha magumu leo wamezuia Mkutano wa Chadema uliopaswa kufanyika pale Kariakoo
Angalia picha hapa chini👇
View attachment 3312539View attachment 3312538
Cha kufurahisha zaidi Polisi hawahawa wamekuwa wanawaruhusu CCM kufanya Mikutano eneo hilo hilo la Kariakoo bila kuwazuia, kuwakamata wala kuwabughudhi.
Picha za Mikutano ya CCM inayofanyika hapo Kariakoo bila kubughuziwa na Polisi hizi hapa👇
View attachment 3312542View attachment 3312544View attachment 3312545View attachment 3312547
Kweli hatuna budi kuwaelewa Chadema wanavyosema No Reform No Election
Lord denning
Arusha
Fisi wewe!Ccm ndio yenye dola, wangojee chadema na wao washike dola
Kwamba hadi jukwaa linakamilika hakutakuwa na zengwe?Nionyeshe jukwaa la CHADEMA na viti watu waliwa wamekaa kwenye viti
Heche yuko kwenye gari na kipaza sauti barabarani hilo ndilo eneo la mkutano kwenye barabara?