Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Umeongea kitaalamu sana. Watakaokuelewa ni wenye akili tu, ila vilaza hawataelewa.Knancho saidia China kufika hapo ilipo ni sera zake za communist na kisocialist, China inamifumo ya kouchumi mitatau ubepari mjini ucomminist vijijini usocialist semi urban areas, India wamwkumbatia ubepari ndo maana masikini ni wengi matajiri wenye uwezo mkubwa wachache.