Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
hhahaaha naona umehamasika mkuu, hapo unakula 50k kiroho safi unaenda kumfanyia usafi na kumlindia ofisi yake mpaka aje..Japo napenda kazi za online ila i’m not that cheap bruh! Spending time to post 50 products online and what you finally get is 30K a months? Atleast 500K ni commission nzuri kwa scale ndogo ya biashara! Makampuni ya kati yanalipa around 2M or More kwa Social Media Marketing na posts kwa mwezi hazifiki hata 50!
Kuhusu hio ya kufungua ofisi asubuhi whats the nature of the office? Ni biashara aina gani mzee? Nature yake kuna namna ya kupata genji au ndio unatoka mswaki from morning to evening?