Tetesi: Jioni/Chimbuko la IGA

Tetesi: Jioni/Chimbuko la IGA

Sophist

Platinum Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
4,486
Reaction score
3,408
20231104_090103.jpg
 
Rostam alipokuwa Canada alifanya vikao kadhaa na CIA ambao ndo wanamtumia kama key controller wao kusini mwa jangww la Sahara.

Aliporejea, akasawszisha kiungwana na Jiwe na wakamtengenezea ziara ya mwisho pale kiwanda cha ngozi Morogoro ambapo hata jammer haikuweza kutegua kati ya mtambo wa kudukua pacemaker na vyuma vya kiwanda......

Sasa baada ya kumuingiza mkenge mazeri, na anajua hili litavuja basi ameleta hii hoja ya utetezi kuwa kuhusika kwake ni kwa nia njema.

Code hii ikezingatia torati yote na manabii
 
Mtu wa kunyongwa kwanza ni Rostam, Tanzania and in paticular tanganyika is tired of him!
 
Rostam alipokuwa Canada alifanya vikao kadhaa na CIA ambao ndo wanamtumia kama key controller wao kusini mwa jangww la Sahara.

Aliporejea, akasawszisha kiungwana na Jiwe na wakamtengenezea ziara ya mwisho pale kiwanda cha ngozi Morogoro ambapo hata jammer haikuweza kutegua kati ya mtambo wa kudukua pacemaker na vyuma vya kiwanda......

Sasa baada ya kumuingiza mkenge mazeri, na anajua hili litavuja basi ameleta hii hoja ya utetezi kuwa kuhusika kwake ni kwa nia njema.

Code hii ikezingatia torati yote na manabii
Rostam, huyu jamaa huyu. Ukimuona mahali fumba macho maana milango hufunguka yenyewe..
 
Rostam alipokuwa Canada alifanya vikao kadhaa na CIA ambao ndo wanamtumia kama key controller wao kusini mwa jangww la Sahara.

Aliporejea, akasawszisha kiungwana na Jiwe na wakamtengenezea ziara ya mwisho pale kiwanda cha ngozi Morogoro ambapo hata jammer haikuweza kutegua kati ya mtambo wa kudukua pacemaker na vyuma vya kiwanda......

Sasa baada ya kumuingiza mkenge mazeri, na anajua hili litavuja basi ameleta hii hoja ya utetezi kuwa kuhusika kwake ni kwa nia njema.

Code hii ikezingatia torati yote na manabii
Wengine tulipoanza kuona yule bwana mara kaenda kuzindua sijui taifa gas tukajua kwisha habari yake.

Mpango kaa mbali na huyu mtu.
 
Bandari kwa mafao ya watoto. Mbona hii kali zaidi?
Ile Solar ya M7 kidogo inaeleweka kwa wepesi kuliko hii nzito ya Bandari nzima kwa urithi wa watoto!

Bila kujali hayo yote, stori yenyewe inafikirisha.

Na huyo 'Roast' kwa kweli sasa kaenda mbali zaidi na kulichezea taifa hili. Ajitahadhari sana.
 
Hii kitu inaonekana ina ukweli ndani yake kwa sababu kadhaa;

- Samia amekuwa mgumu sana kupokea ushauri wa kuvunja ule mkataba wa IGA kati ya serikali na kampuni ya DPW licha ya kasoro zote zilizopo kisheria.

- Rostam kujitokeza kuwakingia kifua serikali ya Samia na kampuni ya DPW, kwa kuanzisha vita ambayo haikufanikiwa dhidi ya Dr. Slaa aliyeonekana kuupinga ule mkataba kwa nguvu zote, hii inaonesha kuna ushirikiano kati ya Samia na Rostam.

- Rushwa iliyotembea kuwapa DPW bandari zetu, hiki ni kielelezo kingine cha kujikusanyia mapato ya familia kama ambavyo kipande cha taarifa pale juu kinavyojieleza.

- Samia kuwalinda wasaidizi wake wote ambao kwa kushirikiana nao waliliingiza taifa kwenye mkataba wa hovyo kuwahi kutokea kwenye historia ya taifa letu, akiwemo Prof. Mbarawa, hii inasababishwa na kufunika kombe mwanaharamu apite, ameona asije kuwachukulia hatua baadhi halafu waje kuropoka makubwa zaidi yatakayomuacha Samia mtupu zaidi.

- Kufichwa kwa mkataba wa HGA ambao Samia ameonekana kuusifia, nini kinachosababisha ufichwe ikiwa una nia nzuri na Tanganyika? kwanini tuhadithiwe yaliyomo ndani yake kama vile sisi ni watoto wadogo tusiojua kusoma na kuandika? Hii nia yao ovu dhidi yetu inaonesha bado wanatupiga mpaka kwenye HGA.
 
Nani kawaambia watoto wa hayati Mwl. Nyerere wanaishi maisha ya shida?

Na tangu lini familia hiyo ikajua maisha ya shida?

Hilo👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻ni la upande huo. Na jibu ni kuwa SIYO KWELI, hawana maisha ya shida hao

Kama tunajadili ujangili na ufisadi wa Rais Samia Suluhu Hassan na watu wake, tumjadilini tu na tuiache kuihusisha familia ya Hayati Mwl Julius K. Nyerere na uchafu wa hawa..

Na kama hii ni kweli kwamba, mama huyu alifikiri namna ya kuiachia familia yake utajiri wa wizi na dhuluma dhidi watanzania masikini, basi hakuna shaka kuwa nchi hii iko chini ya uongozi mwanmke hatari wakala wa shetani Jezebel..
 
We umezitoa wapi hizi!?

Kingine ni kwamba,TZ inawananchi zaidi ya 60M haiwezekani wote tukaamua kila mtu kivyake ndio maana tuliwachagua baadhi yetu wataokuwa wanafanya maamuzi.

Ushauri wangu hebu tuwaaminini tulio wachagua haya mengine ya kuhisi hayafai. Rais ni taasisi,haiwezi ikawa na uzezeta wa namna hiyo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom