sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Ule mkataba uliusoma lkn? Kama uliusoma basi neno uzezeta liongezee makali/boldWe umezitoa wapi hizi!?
Kingine ni kwamba,TZ inawananchi zaidi ya 60M haiwezekani wote tukaamua kila mtu kivyake ndio maana tuliwachagua baadhi yetu wataokuwa wanafanya maamuzi.
Ushauri wangu hebu tuwaaminini tulio wachagua haya mengine ya kuhisi hayafai. Rais ni taasisi,haiwezi ikawa na uzezeta wa namna hiyo.
MAGUFULI4LIFE.