Tetesi: Jioni/Chimbuko la IGA

Tetesi: Jioni/Chimbuko la IGA

We umezitoa wapi hizi!?

Kingine ni kwamba,TZ inawananchi zaidi ya 60M haiwezekani wote tukaamua kila mtu kivyake ndio maana tuliwachagua baadhi yetu wataokuwa wanafanya maamuzi.

Ushauri wangu hebu tuwaaminini tulio wachagua haya mengine ya kuhisi hayafai. Rais ni taasisi,haiwezi ikawa na uzezeta wa namna hiyo.



MAGUFULI4LIFE.
Ule mkataba uliusoma lkn? Kama uliusoma basi neno uzezeta liongezee makali/bold
 
Hunter Biden anachunguzwa kwa deal chafu kama hizi; huku kwetu ukihoji unaambiwa unasukumwa na udini.

Hizi nchi kweli zinastahili lile jina zilizobatizwa na Trump.
"sh*t hole country"!
Ni zaidi ya hivyo. Sisi hii yetu sasa hivi ni 'Banana Republic', wanapokuja kuchezea michezo yao michafu wenye hela za mafuta na gesi.
Kila aina ya uchafu utauona wakiuleta hapa; hadi watu kung'olewa makazini kwao kupisha hawa washenzi uwanja wa kufanyia uchafu wao.
 
Ushauri wangu hebu tuwaaminini tulio wachagua
Uliwachagua hawa?
Ulikwenda kituo cha kupigia kura ukamchagua Samia awe Rais wa nchi hii?
Kingine ni kwamba,TZ inawananchi zaidi ya 60M haiwezekani wote tukaamua kila mtu kivyake ndio maana tuliwachagua baadhi yetu wataokuwa wanafanya maamuzi
Ina maana hao uliowachagua na kuwapa mamlaka ya kufanya uamzi, wakiamua kukuuza wewe bado upo tayari kuuzwa au siyo?
 
Hii issue nilisikia tu , kuhusiana na viongozi wakuu kuwaachia urithi familia zao au watoto wao

Narejea kiongozi mmoja wa Pwani, ambaye inasemekana ile gesi ana asilimia zake za kutosha ambazo kila faida ikitengenezwa inaingia kwake

Na wengineo, so ni mipango ya kuhakikisha kuwa hawawi maskini tena na kung'ang'ania nafasi za uteuzi kwenye serikali
 
We umezitoa wapi hizi!?

Kingine ni kwamba,TZ inawananchi zaidi ya 60M haiwezekani wote tukaamua kila mtu kivyake ndio maana tuliwachagua baadhi yetu wataokuwa wanafanya maamuzi.

Ushauri wangu hebu tuwaaminini tulio wachagua haya mengine ya kuhisi hayafai. Rais ni taasisi,haiwezi ikawa na uzezeta wa namna hiyo.



MAGUFULI4LIFE.
Ni mwehu pekee anayeweza kuamini Urais wa Tanzania ni Taasisi.
 
Saa100 aka mama Abdul anatafuta ugali wa watoto anasema jk nyerere alikuwa fala
 
Back
Top Bottom