Jioni hii naelekea Namibia Kwa mualiko wa harusi.

Shinbet18

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
255
Reaction score
263
Hi jf.

Nimepata mualiko kutoka Kwa classmate wangu anaoa amenitumia tiketi tangu juzi amesisitiza nifike kwenye harusi yake.

Baada ya harusi nitamsisitiza angalau nikaone hilo kabila linalokaribisha wageni Kwa kuwapa utamu wageni nawaahidi nitapiga selfie siku nikiondoka Namibia.

Goodbye for awhile my fellow Tanzanians[emoji120]
 
Mkuu
Safari Njema Nenda Kafanye Vizuri Iwakilishe Nchi
Maana Italeta Heshma Kwa Watanzania Wote
Ukirudi Tutafanya Maandamano Kukupokea Airport
Usisahau Mfuko (Condom)
 
Mkuu muulize kama ameshakabidhiwa bendera na waziri husika ili kama bado tuchek plan b.


Mkuu
Haya Ndiyo Mawazo Ya Kujenga Nchi
Maana Bendera Muhimu
Huyu Anawakilisha Nchi Kwenye Tukio Muhimu
 
Wana rate kubwa sana ya maambukizi ya ukimwi... Kua mwangalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…