kwenye mitandao ya kijamii nchi hii ukizungumza ukwel au uzuri wa waislam au uislam katika kuijenga nchi yao hii basi utaambiwa mdini na utatukandwa.kwani waislam wao hawastahili au sio raia wa nchi hii jamani.tuwe wenye kuvumiliana katika jamii zetu...
Smarte,sawa...kuna mtu mmoja anauliza, kwanini mada nyingi za mleta mada zinahusu waislam wa pwani pekee?...ina maana nchi imejengwa na waislam wa pwani tu?, waislam wa mkoa mengine hawakuhusika ktk harakati za kuijenga nchi?.
kwann mnapenda kujadili mambo ya dini nyie vijana wa siku hizi?Mzee, unakutanaga na waislamu tu. Wakristo walikukosea nini?