Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Hiyo fever ya Manjano inaonekana ni tishio sana kwa wenzetu huko kuliko ebola!!!
 
Naskia pia ukitoka na hiliki/Iriki Tz kule inalipa sana,mwenye info zaidi amwagike kdg hapa wakuu tusaidiane.Unajua inakuwa vyema sana kama unatoka huku na cargo na unarudi na cargo.Au ni bidhaa gani nyingine ambayo wao kule wanaitafuta?
 
Nikiwa kule kama nikiuliza kitu kwa kutema yai je nitaonekana Wakuja/Mgeni ili wanipige?
Wata juwa tu wewe n mgeni na wata kupiga sente nyinji nyoo musaja wa kanaka ugende mpolampola... Tugendee tukolee Pearl of Africa
 
Mzee safi sana yan umenkumbusha mbali sana hzo early 2000s kitu cha kampala nakumbuka nlkua napanda sana Spider na Akamba coach bt cjui kama bado zpo.........maisha ni safari kwa kwel...karibun gabs botswana tupo tunapambana huku
Mkuu fursa za huko
 
Mnaotaka kuingia Uganda bila kuwa na Yellow card fever pitieni Mutukula, pale hata usipokuwa na passport unapita tu ilimradi uwe na kitambulisho au unaweza kukata passport ya mda kwenye ofisi uhamiaji ya wilaya yako.

Unaweza kuweka pesa zako kwenye MPESA then ukifika uku unatoa kama kawaida hasa maeneo ya Arua park kuna wakenya wengi wana mpesa na exchange rate yao ni nzuri.
Ukiwa na passport hasa hizi mpya nenda pale Shoprite iko Entebbe road usajili laini ya Airtel ni elfu 5 tu ya Uganda, ukimaliza weka kwenye simu yako the piga *185# kupata menu ya airtel money.
Nimekwambia kuhusu airtel money kwa sababu hutatumia social network yoyote bila kulipia OTT ambayo inalipiwa kupitia mobile money
 
Shukran sana mkuu,
1.Hivi bank ya KCB Uganda haipo?
2.ATM za Uganda ni sawa na hizi za huku kwetu TZ?
 
Ukiwa na Visa card unatoa pesa yako kwenye ATM yenye Visa kama Stanbic, DTB.

KCB ipo unaweza kuipata pale Industrial Area au Kampala road
 
Huu uzi mzuri ila mtoa mada hajatufikisha mpaka kwenye malisho kaishia njian. Kama ni kazi ya fasihi tunasema fanani hakufanikiwa kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira
 
Huu uzi mzuri ila mtoa mada hajatufikisha mpaka kwenye malisho kaishia njian. Kama ni kazi ya fasihi tunasema fanani hakufanikiwa kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira
Pole Mkuu unaweza kuniuliza nikakujibu tu
 
Pole Mkuu unaweza kuniuliza nikakujibu tu
Mkuu me naendelea kuwa msumbufu kwa faida ya wengi.
1.Kwa mfano nimechkua mizigo ya aina 3 yan labda nguo spacial,viatu viatu spcial na balo 2 za mtumba wa nguo za watoto je mzigo huu kodi yake inakatwa kwa pamoja au mbali mbali?

2.Nikishamaliza kufunga kule sokoni ule mzigo naupeleka lodge au ofisi ya basi?

3.Naupeleka kwa kutumia nini? Boda boda,tolori au kicary?
 
Ikiwa nimeshafunga mzgo labda wa mil3 je natakiwa niwe na akiba ya shngap ya tra pale border ili mzigo upite?
 
Mkuu uko sahihi 100%
Ila tusilaumu sana jamani sio kila mtu anajua fasihi ya kuandika,sio wote tunaowauliza kwamba hawana kazi zingine za kufanya kwamba muda wote wapo humu,tunachotakiwa kukifanya ni kuandika maswali na kuyaacha,ukirudi utakuta wajuzi washakujibu na tushkuru tu hawa tunaowauliza akiwemo mtoa mada kiukweli ni watu wastaarabu sana aisee naamini Mungu atabariki biashara zao na mambo yao.
Tuulize sana jamani tusitegemee kuna mtu atakuletea li'artical la page 2 humu akuelezee khs uganda. Uliza jibu utakalolipata unajiongeza pia.
 
Usha soma Post ba Comment zote mbona majibu yako humu? Mnapendaga sana kwamba lazima hata kama swali la aina yako lisha ulizwa unataka unekane na wewe uliuliza swali. Wanawapotezea kwa sababu mnachosaha jibu lisha tolewa bado unakomaa na swali lile lile
 
Me sikulaumu wewe namlaumu aliyeshusha bei ya bangi...hv umeelewa nilichouliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…