Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Hiyo fever ya Manjano inaonekana ni tishio sana kwa wenzetu huko kuliko ebola!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wata juwa tu wewe n mgeni na wata kupiga sente nyinji nyoo musaja wa kanaka ugende mpolampola... Tugendee tukolee Pearl of AfricaNikiwa kule kama nikiuliza kitu kwa kutema yai je nitaonekana Wakuja/Mgeni ili wanipige?
Mkuu fursa za hukoMzee safi sana yan umenkumbusha mbali sana hzo early 2000s kitu cha kampala nakumbuka nlkua napanda sana Spider na Akamba coach bt cjui kama bado zpo.........maisha ni safari kwa kwel...karibun gabs botswana tupo tunapambana huku
Ela yao elfu 10,000 wanaita Mtwaro.
Elfu 7-Lusamvu
Elfu 1-Lukumi
Shukran sana mkuu,Mnaotaka kuingia Uganda bila kuwa na Yellow card fever pitieni Mutukula, pale hata usipokuwa na passport unapita tu ilimradi uwe na kitambulisho au unaweza kukata passport ya mda kwenye ofisi uhamiaji ya wilaya yako.
Unaweza kuweka pesa zako kwenye MPESA then ukifika uku unatoa kama kawaida hasa maeneo ya Arua park kuna wakenya wengi wana mpesa na exchange rate yao ni nzuri.
Ukiwa na passport hasa hizi mpya nenda pale Shoprite iko Entebbe road usajili laini ya Airtel ni elfu 5 tu ya Uganda, ukimaliza weka kwenye simu yako the piga *185# kupata menu ya airtel money.
Nimekwambia kuhusu airtel money kwa sababu hutatumia social network yoyote bila kulipia OTT ambayo inalipiwa kupitia mobile money
Shukran sana mkuu,
1.Hivi bank ya KCB Uganda haipo?
2.ATM za Uganda ni sawa na hizi za huku kwetu TZ?
Mkuu me naendelea kuwa msumbufu kwa faida ya wengi.Pole Mkuu unaweza kuniuliza nikakujibu tu
Kuna mtu aliwahi kuniambia chipsy zege ni ubunifu wa tz pekee na ukiukuta kwa majirani ujue wameiga bongo. Kumbe na sisi tuna mengi ya kujivuniaChips mayai hakuna, ukitaka unapewa chips peke yake na mayai peke yake, hawamix kama tz
Mkuu uko sahihi 100%Huu uzi mzuri ila mtoa mada hajatufikisha mpaka kwenye malisho kaishia njian. Kama ni kazi ya fasihi tunasema fanani hakufanikiwa kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira
Ila tusilaumu sana jamani sio kila mtu anajua fasihi ya kuandika,sio wote tunaowauliza kwamba hawana kazi zingine za kufanya kwamba muda wote wapo humu,tunachotakiwa kukifanya ni kuandika maswali na kuyaacha,ukirudi utakuta wajuzi washakujibu na tushkuru tu hawa tunaowauliza akiwemo mtoa mada kiukweli ni watu wastaarabu sana aisee naamini Mungu atabariki biashara zao na mambo yao.Mkuu uko sahihi 100%
Mkuu me naendelea kuwa msumbufu kwa faida ya wengi.
1.Kwa mfano nimechkua mizigo ya aina 3 yan labda nguo spacial,viatu viatu spcial na balo 2 za mtumba wa nguo za watoto je mzigo huu kodi yake inakatwa kwa pamoja au mbali mbali?
2.Nikishamaliza kufunga kule sokoni ule mzigo naupeleka lodge au ofisi ya basi?
3.Naupeleka kwa kutumia nini? Boda boda,tolori au kicary?
Usha soma Post ba Comment zote mbona majibu yako humu? Mnapendaga sana kwamba lazima hata kama swali la aina yako lisha ulizwa unataka unekane na wewe uliuliza swali. Wanawapotezea kwa sababu mnachosaha jibu lisha tolewa bado unakomaa na swali lile lile
[/QUOTE
Me sikulaumu wewe,nalaumu aliyeshusha bei ya bangi.
Me sikulaumu wewe namlaumu aliyeshusha bei ya bangi...hv umeelewa nilichouliza?Usha soma Post ba Comment zote mbona majibu yako humu? Mnapendaga sana kwamba lazima hata kama swali la aina yako lisha ulizwa unataka unekane na wewe uliuliza swali. Wanawapotezea kwa sababu mnachosaha jibu lisha tolewa bado unakomaa na swali lile lile