Jioni ya Agosti 3, 2009, mwanamitindo mchanga Gabriela Rico Jimenez aliwashangaza watazamaji kwa mlipuko

Jioni ya Agosti 3, 2009, mwanamitindo mchanga Gabriela Rico Jimenez aliwashangaza watazamaji kwa mlipuko

Bwege2030

Member
Joined
May 10, 2025
Posts
97
Reaction score
197
Mwanamitindo mchanga kutoka Mexico , Alikuwa na umri wa miaka 21 aliomba kujiunga na Elites ili apate Uhuru wa kimaisha akakataliwa kujiunga nao mpaka pale atakapokula mtu..

Jioni ya Agosti 3, 2009, mwanamitindo mchanga Gabriela Rico Jimenez aliwashangaza watazamaji kwa mlipuko usiotarajiwa nje ya hoteli ya kifahari huko Monterrey, Mexico. Mwanamitindo huyo alishutumu wanachama wa wasomi wa kimataifa kwa uhalifu wa kushangaza - ulaji nyama - huku wakitenda kwa njia isiyo ya kawaida.

Alidai kuwa katika tafrija aliyohudhuria, wawakilishi wa wasomi walikuwa wamekula nyama ya binadamu. "Walikula mtu. Walikula mtu. Sikujua. Nilitaka uhuru," mwanamitindo alilia. Muda mfupi baada ya kupasuka kwake kihisia, Gabriela alichukuliwa na maafisa wa polisi, na tangu wakati huo, hajaonekana. Hata hivyo, picha za tukio hilo zinaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, na kuzua uvumi kuhusu hatima yake. Wengine wanaamini kwamba mwanamitindo huyo alikuwa amelewa na dawa zenye nguvu na alilazwa katika hospitali ya magonjwa ya akili, huku wengine wakimwona kuwa "hayupo."

Hakuna nadharia yoyote kati ya hizi ambayo imethibitishwa, na hakuna habari mpya kuhusu Gabriela iliyojitokeza.Na kuanzia hapo,alipotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo hatujui aliendaga wapi yani.Hii inazua swali: Je, ni unyama gani ambao Gabriela alidai? Mawazo ya wanadamu kula nyama ya binadamu ni ya kweli kadiri gani?
 
Attachments

  • Facebook_1748465595401(360p).mp4
    674 KB
  • Facebook_1748489878811(360p)(1).mp4
    1.7 MB
Ndio inavyokuwa.
You are invited for supper.
And when you get there you find that you are the supper.
 
Kwa kuchanganyikiwa huko huenda alikuta nyama inaandaliwa live akadata..
 
hajawahi kupatikana tena
Bado Tangu hapo alipotea mazima. Sasa tunawaza,huyo police anayeonekana hapo kwenye video Hiyo,alimpeleka wapi huyo mwanamitindo? Na kama alipotezwa basi , serikali ya Mexico ni "wauaji kweli". Walimpoteza kwakuwa alitoa Siri zao, Tunaomba serikali ya Mexico imrejeshe Gabriela Rico Jimenez kama kweli siyo wauaji na kama hawawezi kumrudisha, SERIKALI YA MEXICO NI WALA WATU, Gabriela Rico Jimenez,alisema ukweli kisha akapotezwa ili asiendelee kutoa Siri..

SERIKALI YA MEXICO NI WAUAJI,KAMA SIVYO,HUYO ASKARI POLICE ALIEKUWA ANAMSOGEREA AJE ATUONESHE, GABRIELA RICO JIMENEZ YUKO WAPI.. TUNAHITAJI SISI TUMUONE mwanamitindo wetu
 
Kwa kuchanganyikiwa huko huenda alikuta nyama inaandaliwa live akadata..
"SERIKALI YA MEXICO" IJE ITUONESHE, SISI TUNAMTAKA GABRIELA RICO JIMENEZ... NA HUYO ASKARI ALIYEKUWA ANAMSOGEREA AJE ATUONESHE GABRIELA RICO JIMENEZ YUKO WAPI,YEYE ANAJUA ALIPO
 
Natamani Sasa kama si itolewe movie kumuhusu ili watu wajue kilichompata mana najua director wa movie ataenda kufanya uchunguzi na research, pia haya mambo yapo Na ni mazito, nimesoma habar za huyu dada, yaweezeka alitaka kua fame kwenye tasnia ya urembo ila akakutana na mambo ya ajabu, yawezekana kweli aliona hao aliowataja, elites, wanakula nyama za watu,, kama queen Elizabeth, na huyo tajiri wa mexico..pengine aliona mengi...au alijua mengi, Sasa akawa anataka kutoka , awe huru, mana hayo mambo hua ni vifungo vikubwa kama mnavyojua wasanii wakubwa baadhi wamekua wakitoa shuhuda jinsi wanavyoteswa na umaaarufu na kulipa garama za kua maarufu na mwenye pesa, bidada alichukuliwa kwa maelezo ya watu alipelekwa Polisi baadae wakadai alipelekwa kwenye kituo Cha wagonjwa wa akili..ila kwenye blog moja Kuna mtu anonymous alikuja kukoment kua alikutama na huyo binti kwenye kituo cha watu wenye matatizo ya akili, anasema alimuona kama ana sura ya HOFU, na uoga mwingi na kukosa amani na mazingira aliyokuwepo..akamuuliza kama Yuko sawa, na anaitwa nani, familia yake Iko wapi, ..ila alichomjibu akamwambia wewe umeshakufa, wewe ni mmoja wa wale watu...kabla hajamuuliza vizuri alichomanisha, anasema walikuja watu wamevalia nadhifu sana wakamtoa huyo mtu , mana yeye alikua ni mwanafunzi alikuja kufanya kama field kwenye hiko kituo..

Siku chache badae alirudi kwa uongozi wa Hiko kituo kuuliza sababu ya yeye kutolewa na alikua anataka amsaidie huyo dada , anadai wakaishia kucheka tu, aliogopa, na anadai tangu siku hio akaacha kila kitu na kuondoka huo mji huko mexico..tangu wakat huo haijulikani huyo binti Yuko wapi
Na naona sehem ya kwanza kufanyia uchunguz itakua hiko kituo
 
Asante Sana kwa maelezo mazuri..
 
Mexico Kuna kua na mambo ya kishirikina sijui ,,,kunakuaga na Mambo ya ajabu ajabu sana...Kuna muvi wale wapenda muvi haswa true stories,.Kuna muvi kaekti 50 cent na mel Gibson ...Ile ni stori ya kweli ..mtu ambaye alikua anaua wadada na kuwafukia kwenye sehem mbalimbali kwenye uwanja , maiti za wadada kibao waliopotea kwa nyakat tofauti zilioatikana zote kwenye sehem Moja...na muuaji hajawahi.kukamatwa japo Yale mauaji yalikuja kusimama.ghafla...kuna case nyingine ya watoto.sijui mabinti sijui wanaume wamepotea kwa mda mrefu hawajahi kupatikana Hadi rais wa Sasa kaamua kulivalia njuga suala Hilo kua msako ulianza tena ...Mexico Kuna shida.sana
 
Back
Top Bottom