Natamani Sasa kama si itolewe movie kumuhusu ili watu wajue kilichompata mana najua director wa movie ataenda kufanya uchunguzi na research, pia haya mambo yapo Na ni mazito, nimesoma habar za huyu dada, yaweezeka alitaka kua fame kwenye tasnia ya urembo ila akakutana na mambo ya ajabu, yawezekana kweli aliona hao aliowataja, elites, wanakula nyama za watu,, kama queen Elizabeth, na huyo tajiri wa mexico..pengine aliona mengi...au alijua mengi, Sasa akawa anataka kutoka , awe huru, mana hayo mambo hua ni vifungo vikubwa kama mnavyojua wasanii wakubwa baadhi wamekua wakitoa shuhuda jinsi wanavyoteswa na umaaarufu na kulipa garama za kua maarufu na mwenye pesa, bidada alichukuliwa kwa maelezo ya watu alipelekwa Polisi baadae wakadai alipelekwa kwenye kituo Cha wagonjwa wa akili..ila kwenye blog moja Kuna mtu anonymous alikuja kukoment kua alikutama na huyo binti kwenye kituo cha watu wenye matatizo ya akili, anasema alimuona kama ana sura ya HOFU, na uoga mwingi na kukosa amani na mazingira aliyokuwepo..akamuuliza kama Yuko sawa, na anaitwa nani, familia yake Iko wapi, ..ila alichomjibu akamwambia wewe umeshakufa, wewe ni mmoja wa wale watu...kabla hajamuuliza vizuri alichomanisha, anasema walikuja watu wamevalia nadhifu sana wakamtoa huyo mtu , mana yeye alikua ni mwanafunzi alikuja kufanya kama field kwenye hiko kituo..
Siku chache badae alirudi kwa uongozi wa Hiko kituo kuuliza sababu ya yeye kutolewa na alikua anataka amsaidie huyo dada , anadai wakaishia kucheka tu, aliogopa, na anadai tangu siku hio akaacha kila kitu na kuondoka huo mji huko mexico..tangu wakat huo haijulikani huyo binti Yuko wapi
Na naona sehem ya kwanza kufanyia uchunguz itakua hiko kituo