🤷♀️🤷♀️Nikujuze kuhusu Balo za Gauni za wadada Grade one zinazopatikana kwetu Basi Ni hzi Bhana👇👇
🔗Moja:-Balo za Cotton Dress Grade A za China ni 430,000/=kg 40 pic 140+ Hizi bhana zinakuwa Fupi na na Ndefu Huwa unakutana na Gauni za Church na zile Ndefu Ambazo Unaweza Kuvaa hata sehemu Za Event special kama Wedding,Birthday part N.k hizi Unaweza kuweka Dukani Hata pia Kuuza online au Mnadani ziko vizuri sana Lakin pia kuna Chiffon dress Gauni za Silk tupu Hizi Bhana ni 600,000/=pic 150+ Ni Balaaa ina Radha ya kipekee Sana Balo hizi za Silk 🔗Mbili:-Balo za Dubai Medium summer dress 580,000/=pic 140+ Mixer long na short ni nzuri sana kwa kuweka Dukani Zinakuwa mpaka na Lebel zake yaaan Mpyaaa..
Hizi 👆👆ndo BALO ZA Gauni Ambazo Unaweza kuanza Nazo katika Biashara ya Kuuza Gaun za Mtumba