INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

feni ya kwenye dari panga ndogo bei gani . picha na brandi zenye uko nazo
 
Bwana mfaume
Samsung smart tv inch 32 bei gai??
Kingamuzi cha azam bei yake pia tafadhal..
 
Hyo smart ya tcl bei gan inch 32
Hyo samsung ya kawaida inch 32 bei gani??
Kwenye ubora vip kati ya hizo mbili samsung na tcl...??
samsung 550,000 na tcl 520,000 kwa ubora tcl ni nzuri pia haina tofauti na smsung lg na sony tcl zaman ilijulikana kam hitachi
 
Mkuu mbona umepandisha bei nimeona kwenye nyuzi za october kuwa uliandika tcl inch 32 n 480k
sio kuwa napandisha bei lahasha ila bei zinabadilika kila wakati mangi afu tcl smart zilikua hazipatikan na waliokua na stock waliuza hadi 600k njoo hautarudi na pesa hom utapata tv japo tcl huwez kupata kwa bei hiyo labda upate zilizo toka kwa fundi refubrish
 
Home theater zipo za aina gn na bei yke
zipo aina nyingi mangi watss 300 hadi 1000 sony na lg labda unambie unataka ipi au soma bandiko za mwanzo zipo zote nimepost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…