INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

sio kuwa napandisha bei lahasha ila bei zinabadilika kila wakati mangi afu tcl smart zilikua hazipatikan na waliokua na stock waliuza hadi 600k njoo hautarudi na pesa hom utapata tv japo tcl huwez kupata kwa bei hiyo labda upate zilizo toka kwa fundi refubrish
Sasa mfaume
Ebu niambie bei ya mwisho hyo tcl smart unaniuzia bei gan??
 
Duka lipo mtaa gani
azania bank kwenye ghorofa la simba ndio location rahisi kwa mgeni ukifika ila kwa mwenyeji wa kariakoo fika hadi ddc pale ukinijulisha tu takufata bila wasi kama sio mimi hata alieko shop karibu ujipatie bidhaa bora zisizo na maulizo
 
Njoo na 500,000 kamili nikupe bei ya ofa mangi ila ndio ukisubiri zipande tena itakua hela imenishinda mimi
Basi inshaaaalah week hii ntakutafuta
Weka namba basi mkuu ili iwe rahisi kuwasiliana.

Bwana mfaume fanya offer basi nichukue na azam kingamuzi
 
Basi inshaaaalah week hii ntakutafuta
Weka namba basi mkuu ili iwe rahisi kuwasiliana.

Bwana mfaume fanya offer basi nichukue na azam kingamuzi
mkuu namba zote zipo mwanzo hapo kuanzia ya watsapp hadi zakawaida zipo ofa ndio kama hiyo nimekupa mkuu azam dish takupunguzia 5000 karibu sana
 
FB_IMG_1512113315991[1].jpg

KODTEC SPEAKER ONLY IN ONE MOJA NI MASTER INA AMPLIFIER
NYINGINE KAWAIDA INA FAA KWA MATUMIZI YA KUMBI ZA SHEREHE NK INA SUPORT WIRELES MIC
PRICE 769,000
 
Una portable AC BTU 12000 au zaidi?
Sitaki air cooler nataka AC.
 
Back
Top Bottom