Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #2,061
mkuu hilo unhitaji kubwa generator lakuwasha ac sio hzo za kv3+ inatakiwa kubwa zaidi mangiDuh tokea lini tunataniana mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hilo unhitaji kubwa generator lakuwasha ac sio hzo za kv3+ inatakiwa kubwa zaidi mangiDuh tokea lini tunataniana mkuu?
Dah powa hizo kubwa bei yake sitaiweza labda tukishajenga vibanda vyetumkuu hilo unhitaji kubwa generator lakuwasha ac sio hzo za kv3+ inatakiwa kubwa zaidi mangi
hazina Bluetooth na ndogo kimwonekanoHalafu niwekee picha ya subwoofer ya 90000 na sifa zake.
Mi nataka yenye bluetooth bana ni play nikiwa nimelalahazina Bluetooth na ndogo kimwonekano
Toa maelezo ya kutosha kuhusu hizi.
printers hazijaingia mangiPlease tuma picha ya printers tuone na bei
sawa boss wetu mtiifu kabisaToa maelezo ya kutosha kuhusu hizi.
Nikitaka camera nne tu bei inakuwaje?sa
sawa boss wetu mtiifu kabisa
set nzima zinakaa kamera 6 cable zake na dvr ya njia 8 ambayo wewe utacho fanya baada ya kununua set utanunua screen tu kwajili ya kuona video zako pia hiyo dvr unaweza kuongeza camera 2 ziwe 8
hii ya moja inauzwa moja kama ilivyo ila hiyo set bei yake ni 950,000
kamera moja bei yake 130,000 mangi ndio utazidisha kwa 4 ila set na vifaa vyake zinakaa 6Nikitaka camera nne tu bei inakuwaje?
Moja ya matangazo yanayojitosheleza humu JFTUNA BIDHAA ZA MAJUMBANI NA OFISINI TUPO KARIAKOO MSIMBAZI AZANIA BENKI TUNA FANYA FREE DELIVERY NDANI YA DAR ES SALAAM PIA TUNA TUMA MIKOA YOTE TANZANIA KWA UMAKINI ULIO TUKUKA KARIBU UJIUNGE NA FAMILIA YA NAFUU ELECTRONICS UFURAHIE HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA. KWETU MTEJA NI ZAIDI YA MFALME
BIDHAA ZETU NI[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zake
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiume
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
Usisumbuke mteja wetu tunakuletea bidhaa hadi mlangoni okoa muda wako kwa kufanya mambo mingine kazi ya kukuletea mzigo ni juu yetu
Phone + whatsapp no 0672852415
Call 0686465857
Call 0624701269
Call 0769729897
TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU SHETANI HANA NAFASI
![]()
With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000
Mawasiliano: 0672852415
AHSANTE KWA KUTUONAMoja ya matangazo yanayojitosheleza humu JF