INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

1
 
2
 
Shida picha nyingi za kudownload
ndio zipo hvyo mkuu hapa najaibu kuweka mwenekano mzuri ndio mana umekuvutia picha yakupiga
nili mwona ni ka m ignore ngoja nikujibu labda unaweza ku mwakilisha kunatofauti gan ya redio au tv au chochote nilicho post kuwa kinapatikana na hyo picha ya kudownload anafaham au unafaham hyo picha ya kudownload ni ndio bidhaa hyohyo ila imepigwa na camera zenye high quality na sehem maalum ili kuvuita na kutengeneza picha halisi kama kuna mteja alisha wahi kununua bidhaa yoyote toka kwetu ambayo haiku endana na picha halisi ajitojkeze
nimeawsilisha hoja labda kwa heshima yako umetumia staha kwa kuniuliza huwa nipo bize kujibu wateja pia karibu dukan ukiona hyo picha ya kudownload tofaut na hyo bidhaa rudi hapa uwaeleze pia
 
upo sahihi hakuna picha halisi
nataka kufaham uhalisi wa picha ni upi unao hitaji mkuu labda nifahamishe kuna picha ilio tofaut na bidhaa husika?.
Tusiwe wepes kuhoji kwenye hakuna mimi najua picha ipi itamvutia mteja hizi ni picha za bidhaa hzo hzo ila nimependa ushauri wenu karibuni pia
 
sorry mangi ilikua unahitaji nini
Mkuu nahitaji fridge kubwa, nzuri preference yangu ni Samsung au Hotpoint au nyingine yoyote iliyo bora lakini pia nahitaji TV 48"-50" Sony au Samsung Smart au kawaida yoyote itanifaa. Naomba bei tafadhali, I am a serious buyer.
 
Mkuu nahitaji fridge kubwa, nzuri preference yangu ni Samsung au Hotpoint au nyingine yoyote iliyo bora lakini pia nahitaji TV 48"-50" Sony au Samsung Smart au kawaida yoyote itanifaa. Naomba bei tafadhali, I am a serious buyer.
fridge samsung ni 1,360,000
samsung tv 48" kawida bei 1,755,000
smart curved bei 2,000,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…