INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo


12kg Washing Machine – WT12J4200
1.jpg


KEY FEATURES
Twin Top
Semi Auto Washer
12 kgs
Semi Automatic
Double Storm
Wash Turbo
Water Drain
DIMENSIONS (mm) W820mm x D524mm x H1000mm
WATER PRESSURE 0.05~0.78 MPa, 0.5 ~ 8.0 kg-f/cm
WEIGHT 36 kg
EXTRACTION EFFICIENCY 50%
STANDARD QUANTITY OF WATER low 44 / middle: 56 / high: 67
RATING TIME washing 1hour / spinning 15minutes
1,000,000.00 TSh
1
 

Top Load 13Kg - WA13J5730SS/NQ
4.jpg

3.jpg

KEY FEATURES
Samsung WA13J5730SS/NQ Washing Machine Top Load




    • 13 kg top loading washing machine
    • 700 rpm
    • Active dual wash function
    • Water jet function
    • Wobble technology
    • Magic detergent dispenser
    • Smart service check
    • Automatic restart function
    • Diamond drum
    • 2 water inlets
    • 10 water level options
    • Digital display panel
    • Delay end function
    • Child lock
    • Softener dispenser
    • Rat proof base provided
    • 1,325,500.00 TSh
2
 
Shida picha nyingi za kudownload
ndio zipo hvyo mkuu hapa najaibu kuweka mwenekano mzuri ndio mana umekuvutia picha yakupiga
Blaza Amani mfaume kuna Jamaa hapo juu comment Namba 2446 anaitwa Jitu jeusi anasema kuwa tatizo picha zako nyingi unazoweka humu una download kutoka internet. Yaani sio picha halisi ya vifaa unavouza.
Sijui hili suala unasemaje. Kwanini usipige picha vifaa mtu anaona picha halisi kabisa.
nili mwona ni ka m ignore ngoja nikujibu labda unaweza ku mwakilisha kunatofauti gan ya redio au tv au chochote nilicho post kuwa kinapatikana na hyo picha ya kudownload anafaham au unafaham hyo picha ya kudownload ni ndio bidhaa hyohyo ila imepigwa na camera zenye high quality na sehem maalum ili kuvuita na kutengeneza picha halisi kama kuna mteja alisha wahi kununua bidhaa yoyote toka kwetu ambayo haiku endana na picha halisi ajitojkeze
nimeawsilisha hoja labda kwa heshima yako umetumia staha kwa kuniuliza huwa nipo bize kujibu wateja pia karibu dukan ukiona hyo picha ya kudownload tofaut na hyo bidhaa rudi hapa uwaeleze pia
 
upo sahihi hakuna picha halisi
nataka kufaham uhalisi wa picha ni upi unao hitaji mkuu labda nifahamishe kuna picha ilio tofaut na bidhaa husika?.
Tusiwe wepes kuhoji kwenye hakuna mimi najua picha ipi itamvutia mteja hizi ni picha za bidhaa hzo hzo ila nimependa ushauri wenu karibuni pia
 
sorry mangi ilikua unahitaji nini
Mkuu nahitaji fridge kubwa, nzuri preference yangu ni Samsung au Hotpoint au nyingine yoyote iliyo bora lakini pia nahitaji TV 48"-50" Sony au Samsung Smart au kawaida yoyote itanifaa. Naomba bei tafadhali, I am a serious buyer.
 
Mkuu nahitaji fridge kubwa, nzuri preference yangu ni Samsung au Hotpoint au nyingine yoyote iliyo bora lakini pia nahitaji TV 48"-50" Sony au Samsung Smart au kawaida yoyote itanifaa. Naomba bei tafadhali, I am a serious buyer.
fridge samsung ni 1,360,000
samsung tv 48" kawida bei 1,755,000
smart curved bei 2,000,000
 
Back
Top Bottom