Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lipi?Uliewelewa swali kweli?
nimekujibu mkuu sorry kama umekwazika upande wangu sms huwa naona bora zaid japo ukinipigia simu nimuhim zaidi unafaham lafudhi ya kaskazini jumlisha kigugumizi utachelewa kunielewa 😀Uliewelewa swali kweli?
It's oknimekujibu mkuu sorry kama umekwazika upande wangu sms huwa naona bora zaid japo ukinipigia simu nimuhim zaidi unafaham lafudhi ya kaskazini jumlisha kigugumizi utachelewa kunielewa 😀
Punguza bei kidogo mkuu nichukue npo Mz au km una sonny 32' kwa bei pungufu ya hapo kidogo mkuu nichukue.![]()
Samsung inch 32
VGA USB AV2 HDMI
Price 540,000
sony ipo juu zaidi sony 700,000 lg na samsung bei sawa 535,000 ofa kesho nipigie uje uchukuePunguza bei kidogo mkuu nichukue npo Mz au km una sonny 32' kwa bei pungufu ya hapo kidogo mkuu nichukue.
hiyo bei ya zaman mno mwaka jana mwanzon sahv zipo toleo la 2017 bei hali 570,000 popote uendapo ila kwa ofa njoo na hyo 535 nakupa staff na kwa kesho j5 tuPunguza bei kidogo mkuu nichukue npo Mz au km una sonny 32' kwa bei pungufu ya hapo kidogo mkuu nichukue.
Air cooler nahitaj hyo kubwa yake,niwekee bei pamoja na mawasiliano yako,nahitaj kwa matumiz ya ofisiUkitaka kutumia kama fane au kama ac sema hii tumemaliza leo zipo kubwa yake takufanyia bei nzuri kama unataka
Ndugu tangazolako zuri, ila ingependeza kama ungefungua uzi wako*Jipatie accessories za simu
Glass protector za kila aina 3D 10000tsh za kawaida 2.5D 5000tsh
Flash disk(Sandisk) original 32gb 20000tsh
Iphone 7 lighting usb cable original 8500tsh
Iphone 5s/6/6s/6s+ usb cable original 5500tsh
Samsung fast charger original 10000tsh
Samaung s7 earphones original 5500tsh
Samsung s7 edge covers(hard case) 10000tsh
Samsung s8 covers (transparent) 10000tsh
Iphone 7/8 plus covers 10000tsh
Iphon 7/8 covers 10000tsh
Iphone X covers(transparent) 10000tsh
Samsung micro usb cable(data transfer) 3000tsh
Call 0753063142, 0687418839, 0653316087
Whatsapp 0687418839 for more info*