Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #3,601
Mkuu naomba naweza pata power supplier ya Zec 32''. Flat screen??? Na kwa bei gan?TUNA BIDHAA ZA MAJUMBANI NA OFISINI TUPO KARIAKOO MSIMBAZI KARIBU NA DDC HALL (Manyema st) TUNA FANYA FREE DELIVERY NDANI YA DAR ES SALAAM PIA TUNA TUMA MIKOA YOTE TANZANIA KWA UMAKINI ULIO TUKUKA KARIBU UJIUNGE NA FAMILIA YA NAFUU ELECTRONICS UFURAHIE HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA. KWETU MTEJA NI ZAIDI YA MFALME
BIDHAA ZETU NI[emoji116]
HOME THEATER AINA ZOTE
SUBWOOFER AINA ZOTE
SPEAKER KUBWA AINA ZOTE
SPEAKER ZA MATANGAZO AINA ZOTE
MIC WIRELESS AINA ZOTE
TV FLAT LED AINA ZOTE
TV FLAT SMART AINA ZOTE
PORTABLE TV AINA ZOTE
FRIDGE AINA ZOTE
FREEZER AINA ZOTE
AC AINA ZOTE
FANE AINA ZOTE
AIR COOLER AINA ZOTE
AZAM DISH NA FUNDI
WALLMOUNT SIZE ZOTE
LAPTOP USED FROM UK AINA MBALIMBALI
SIMU IPHONE NA SAMSUNG USED FROM UK
GENERATORS AINA MBALIMBALI
WATER PUMP AINA ZOTE
MASHINE ZA KUNYOLEA AINA MBALIMBALI
NA BIDHAA NYINGINE NYINGI NIMEKUWEKEA KATIKA MABANDIKO YA MBELE USISITE KUTEMBELEA BANDIKO LETU ILI UJIPATIE BIDHAA UITAKAYO KWA BEI NAFUU ZAIDI
MTEJA WETU USISUMBUKE HUDUMA ZETU ZINAKUFIKIA MPAKA MLANGONI KWAKO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM TUNA FANYA FREE DILIVERY
NA WAMIKOANI TUNA TUMA KWA UMAKINI WA HALI YA JUU KARIBU UJIUNGE NASI
Phone No 😱 0672852415 Whatsapp and call
call 0686465857 0755 228 487
TUNAWATAKIA WAISLAM WOTE MFUNGO MWEMA WA RAMADHANI RAMADHANI KAREEM
Hatuna mkuu jaribu kwa mafundiMkuu naomba naweza pata power supplier ya Zec 32''. Flat screen??? Na kwa bei gan?
Ok mkuuHatuna mkuu jaribu kwa mafundi
Edelea tu mzee huyo sijui kama hata anaelewa kinachoendeleachief huoni daily tuna post bidhaa mpya
ulitaka tufanyaje [A] Tuache kupost Tubdili style ya uandishi huenda imekuchosha [C[ Tufungue blog yetu
😦
Hivi hizi redio bado zinapatikana! hata mimi nazihitaji!Je mna radio km hiyo? Je sh ngapi? View attachment 1089559
Hatuna chiefHivi hizi redio bado zinapatikana! hata mimi nazihitaji!
Asante kwa taarifa chief.Hatuna chief
Kiongozi nipe uzoefu wako! Kama nimekupata, ni kwamba upo Unguja! Sasa je, mzigo kama huo ukishuka pale bandarini (Dar), TRA hawakung'ang'anii kodi ya ziada kutokana na yale madai kwamba, Zenji kodi ni ndogo na kwahiyo vitu kutoka Zenj vikiingia bara, inabidi ikatwe ile tofauti ya kodi kama ambavyo mzigo ungekuja directly kutoka ng'ambo hadi bara.Samsung UA55NU7300KXXS UHD 4K Curved Smart TV NU7300 Series 7 - 55" BlackView attachment 1109248
Key Features
- 55" UHD 4K Curved Smart TV NU7300 Series 7
- UA55NU7300KXXS
- Real 4K Resolution
- HDR 10+
- Elegantly Curved
- Price 2,800,000
Zina sifa gani nizitafute? Napenda sana mziki mzuriHivi hizi redio bado zinapatikana! hata mimi nazihitaji!
sisi tupo dsm chief nasio Unguja tupo kariakoo DDC hapa swala la TRA nadhani nikufata taratibu tu zilizo rasmi na sio vingine na sisi huwa tunanunua mzigo kwa ma suplier wa kampuni husikaKiongozi nipe uzoefu wako! Kama nimekupata, ni kwamba upo Unguja! Sasa je, mzigo kama huo ukishuka pale bandarini (Dar), TRA hawakung'ang'anii kodi ya ziada kutokana na yale madai kwamba, Zenji kodi ni ndogo na kwahiyo vitu kutoka Zenj vikiingia bara, inabidi ikatwe ile tofauti ya kodi kama ambavyo mzigo ungekuja directly kutoka ng'ambo hadi bara.
Swali langu la pili, linahusu mafriji ya bei poa! Kwa uzoefu, brand ipi ni bora kati ya Boss na Beko?
Good news, labda nilikuchanganya na mtu mwingine; lakini hujanijibu suali kuhusu tv yenye specs sawa na hizo lakini 50". I mean, hiyo 55" ni 2.8, vp ya 50"? Au hamna 50" yenye specs na kila kitu kama hiyo; kv curved, 4K (ingawaje kwa Bongo 4K ni mbwembwe tu), same series, etc.sisi tupo dsm chief nasio Unguja tupo kariakoo DDC
Generally, Sony ni bonge la radio, labda kwavile mimi ni old school! Nilinunua Sony Radio mwaka 2006 (ingawaje bei yake ilikuwa imechangamka sana) lakini hadi leo ipo! Sema ndo vile tena, nilikuwa nimesafiri kwa muda mrefu sana kuliko nilivyokuwa nimetarajia na niliporudi nikakuta limejaa mavumbi na hivyo kuathiri disc tray! Lakini kama leo nakuta Sony kama ile, hata ikiwa 1M+, nachukua manake kipindi kile ilikuwa 700K. Kwenye hizi nyumba zetu za Uswahilini, ilikuwa nikifungua hadi mwisho, basi kaa na fagio kabisa la kufagia matakataka na mende yatakayodondoka kutoka juu baada ya kushindwa kuhimili mtikisiko! Ukikaa hivi, unashtukia masufuria ambayo yalikaa kwenye kingo yanadondoka bila kutaka!Zina sifa gani nizitafute? Napenda sana mziki mzuri
Umasema yote mkuu!Generally, Sony ni bonge la radio, labda kwavile mimi ni old school! Nilinunua Sony Radio mwaka 2006 (ingawaje bei yake ilikuwa imechangamka sana) lakini hadi leo ipo! Sema ndo vile tena, nilikuwa nimesafiri kwa muda mrefu sana kuliko nilivyokuwa nimetarajia na niliporudi nikakuta limejaa mavumbi na hivyo kuathiri disc tray! Lakini kama leo nakuta Sony kama ile, hata ikiwa 1M+, nachukua manake kipindi kile ilikuwa 700K. Kwenye hizi nyumba zetu za Uswahilini, ilikuwa nikifungua hadi mwisho, basi kaa na fagio kabisa la kufagia matakataka na mende yatakayodondoka kutoka juu baada ya kushindwa kuhimili mtikisiko! Ukikaa hivi, unashtukia masufuria ambayo yalikaa kwenye kingo yanadondoka bila kutaka!
Mkuu nchi 42 ni sh ngap, LG nahtaji sana hii mambo, alafu mbna kuna wakat unakuta picha zinakuwa hafifu, hazionyeshi picha clear shida inakuwa ni nn? Au ni camera za station ndo tatzo??