Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #3,621
Kama unatumia HDMI Cable unaona clear Lg nch 43 zipoMkuu nchi 42 ni sh ngap, LG nahtaji sana hii mambo, alafu mbna kuna wakat unakuta picha zinakuwa hafifu, hazionyeshi picha clear shida inakuwa ni nn? Au ni camera za station ndo tatzo??