Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #3,621
Kama unatumia HDMI Cable unaona clear Lg nch 43 zipoMkuu nchi 42 ni sh ngap, LG nahtaji sana hii mambo, alafu mbna kuna wakat unakuta picha zinakuwa hafifu, hazionyeshi picha clear shida inakuwa ni nn? Au ni camera za station ndo tatzo??
Mkuu una heater kwaajili ya kuleta joto nyumbani?Kama unatumia HDMI Cable unaona clear Lg nch 43 zipo
Hapana chief Ila kama utahitaji tutakufanyia mpangoMkuu una heater kwaajili ya kuleta joto nyumbani?
Hapana chief Ila kama utahitaji tutakufanyia mpango
Zinaendaje bei chiefMkuu una heater kwaajili ya kuleta joto nyumbani?
Hebu nipe bei za 📺 flat led na smart aina ya LgMzigo mpya umeingia sasa kesho mapema kabisa msikose [emoji1550][emoji1492]
unataka nch ngapi?Hebu nipe bei za 📺 flat led na smart aina ya Lg
43" 4k bei 1,300,000za 4k zipo