Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #3,661
Nijuze naipataje hii na hivi na mshahara umetoka nichukue kabla haujaisha mapema niko lindiAluminum Alloy Body Pressure Cooker With Lid Cypc725 Silver/Black 7 literView attachment 1131424
Key Features
- Size 7 liter
- Colour Silver/Black
- Model Number CYPC725
- Material Aluminum
- Price 85,000
Unatumiwa tu wewe tu na utayari wako bossNijuze naipataje hii na hivi na mshahara umetoka nichukue kabla haujaisha mapema niko lindi
Ipo Kenwood
Aya mkuu asante kwa ushirikiano soon tumalize biashara ila je kuna punguzo zaidi ya hapo auUnatumiwa tu wewe tu na utayari wako boss
Itatupigia ukiwa tayari shaka ondoaAya mkuu asante kwa ushirikiano soon tumalize biashara ila je kuna punguzo zaidi ya hapo au
HayaItatupigia ukiwa tayari shaka ondoa
Ndo changamoto za kazi mkuu, bt msife moyo muachieni Mungu atalipa.Inauma mkuu ila ndio tumepata morali wa kufanya zaidi
Picha na bei?Ipo Kenwood
Lipia 100kPicha na bei?
MhhLipia 100kView attachment 1131889
Mbona kawaida mkuu ken wood haya sio yale ya 35 ukinunua friji unapewa lile bure[emoji1] hii ni kenwood original
Hatuna BossUna water pump za solar.....?
Kama ndio unauzaje?
Warranty?Mbona kawaida mkuu ken wood haya sio yale ya 35 ukinunua friji unapewa lile bure[emoji1] hii ni kenwood originalView attachment 1132215
2 yearsWarranty?
Hivi naomba kuuliza mkuu wewe kama mfanyabiashara utanipatia jibu sahihi napoomba warranty unaponiambia miaka 2 ili ikamilike inabidi kuna card special uijaze au ni maneno tu na vipi kama maneno matupu huwezi kunikataa baadae mkuu kama mfanyabiashara ni njia inafanya warranty iwe valid.Ahsanteh2 years