INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Hivi hizo Tv unaweza kutumia king'amuzi cha kampuni nyingine na ikafanya kazi kawaida?
 
KARIBUNI MJIPATIE OFA YAKUFUINGIA MWAKA NUNUA BIDHAA UNAPATANA ZAWADI YAKUFUNGIA MWAKA 0672 85 24 15
 
Heri ya mwaka mpya mteja wetu mpendwa.

Tukiwa tumemaliza mwaka salama tukiwa na furaha na afya njema tunapenda kujumuika nanyi kama sehemu ya familia

Tunashukuru kwa kutuamini na kutufanya kuwa sehemu ya wateja tulio wahudumia mwaka 2019

Tuna kuahidi mwaka 2020 tuna mazuri zaidi katika maduka yetu tunapenda kukukaribisha tena kwa mara nyingine kwani tuna bidhaa nyingi kwajili yako

Tunakutakia Mema katika Mwaka huu na uwe Mwaka wa mafanikio kwako Mungu ana mengi mazuri kwaajili yako

Happy New year [emoji1548]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Location yetu Kariakoo ni hilo jengo lenye nembo za Startimes Duka letu lipo jengo la chini linatazama geti la DDC hall karibuni mjipatie vilivyo bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…