INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Startimes Tv 32" DIGITAL FULL HD LED WITH INBUILT DECODER
View attachment 1226702


Key Features
* Inbuilt decoder
*Free Tz Channel
*Model cz1832
*Original from South Africa
*
Price 387,000
maelez0 ya ziada unaweza kutumia bila king'amuzi unatumia antena au dish tu unapata channel 11 free unaweza kurekodi kipindi hii kwa tv model mpya za startimes
Hivi hizo Tv unaweza kutumia king'amuzi cha kampuni nyingine na ikafanya kazi kawaida?
 
KARIBUNI MJIPATIE OFA YAKUFUINGIA MWAKA NUNUA BIDHAA UNAPATANA ZAWADI YAKUFUNGIA MWAKA 0672 85 24 15
 
Dolphin air cooler
Bei 335,000
DOLPHIN-2-1-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya mteja wetu mpendwa.

Tukiwa tumemaliza mwaka salama tukiwa na furaha na afya njema tunapenda kujumuika nanyi kama sehemu ya familia

Tunashukuru kwa kutuamini na kutufanya kuwa sehemu ya wateja tulio wahudumia mwaka 2019

Tuna kuahidi mwaka 2020 tuna mazuri zaidi katika maduka yetu tunapenda kukukaribisha tena kwa mara nyingine kwani tuna bidhaa nyingi kwajili yako

Tunakutakia Mema katika Mwaka huu na uwe Mwaka wa mafanikio kwako Mungu ana mengi mazuri kwaajili yako

Happy New year [emoji1548]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Location yetu Kariakoo ni hilo jengo lenye nembo za Startimes Duka letu lipo jengo la chini linatazama geti la DDC hall karibuni mjipatie vilivyo bora
666c093f06e64e5382f4d54f1088efc8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom