INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Samahani kwa kukukomalia hivi!
Jana nilikuomba kama una DVD player,subwoofer na cable zinazokubali DC current! Naomba picha na bei yake mkuu nije nichukue nazitafuta toka mda mrefu sana
 
rising smart nchi 32 warrant 3yrs ikisumbua unabadilishiwa
Price 500,000 tu
 
Mkuu nimekuomba unisaidie vifaa hivyo hapo juu kama vinapatikana na bei yake
 
tcl inch 55 smart free Chanel warrant miaka miwili
Price 2500,000
 
Mimi natafuta DVD player yenye uwezo wa kucheza CD na DVD format zote na pamoja na kusoma external hdd kama unazo Mkuu sh ngapi tupia na picha
 
Mimi natafuta DVD player yenye uwezo wa kucheza CD na DVD format zote na pamoja na kusoma external hdd kama unazo Mkuu sh ngapi tupia na picha
Uwezo wa kucheza external n wa TV mkuu sio DVD player
 
Mkuu nimekuomba unisaidie vifaa hivyo hapo juu kama vinapatikana na bei yake
ya DC
Price 70,000
subwoofer ya dc ina Bluetooth
Flash
Memory card
Spika 3
Price 180,000
 
Brenda og lita 1 nanusu full set
Price 85,000 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…