Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #421
Muda wote nipo onlineNtakutafuta WhatsApp mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wote nipo onlineNtakutafuta WhatsApp mkuu
Hijajibu hii msg mkuuMkuu mi natafuta Projector BenQ DLP 1080p au Optoma HD 142X 1080p au Epson iwe na Lumens kati ya 2000 na 3500.
Resolution 1020x1080p. Picha na bei pia
Tunazo sonny hy labda nikakuulizie used mpya sidhan kama zipoHijajibu hii msg mkuu
Vifaa vingi vya kisasa vina ac na DC mkuuMkuu nimekuomba unisaidie vifaa hivyo hapo juu kama vinapatikana na bei yake
Uwezo wa kucheza external n wa TV mkuu sio DVD playerMimi natafuta DVD player yenye uwezo wa kucheza CD na DVD format zote na pamoja na kusoma external hdd kama unazo Mkuu sh ngapi tupia na picha
Mkuu nimekuomba unisaidie vifaa hivyo hapo juu kama vinapatikana na bei yake
ahsante mkuu siku za hivi karibuni nakutakuta nichukue hiyo kitu!ya DC![]()
Price 70,000
subwoofer ya dc ina Bluetooth![]()
Flash
Memory card
Spika 3
Price 180,000
L220 utapta pc lenovo hy unayo hitaji ipo 420,000Nahitaji l220 na pc lenovo, monitor 17 inches, hdd gb 360 Ram 2gb