INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Unasafirisha kwa njia gani mbona unauza bei ndogo sana ushuru hulipagi au
 
boss nahitaji home theater ya 300k. je unazo brand zipi
Zipo LG na Sonny kama kuna LG 300,000 Sonny 380,000 ila LG haina Bluetooth kunakifaa kinaitwa dongo unakiweka kwenye flash inasoma Bluetooth kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…