Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #581
Poa utakuja uioneNahitaji kuona kwanza. Mara nyingi kwenye picha hupati uhalisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa utakuja uioneNahitaji kuona kwanza. Mara nyingi kwenye picha hupati uhalisia.
Samsung nch 24Ouling pinetech Starx na kampuni nyingi ila LG Samsung hakuna
390,000Samsung nch 24
inacost kias gan?
Zipotcl je
Na zile za Startimes pia mnazo ??
Tcl tatu na60tcl je
Na zile za Startimes pia mnazo ??
Pamoja na deki yake au screen tu![]()
Samsung inch 28
VGA USB AV2 HDMI full HD
Price 370,000
Kuna wafanya biashara wanao banwa kuhusu ushuru kama wakariakoo mkuuUnasafirisha kwa njia gani mbona unauza bei ndogo sana ushuru hulipagi au
Kila unacho kiona nikipyaVip ni mpya ? Au used?
Mkuu ushawahi kuuziwa TV [emoji342] ikiwa na Deki? Naweza nikakujibu ndio kwasabab TV za kisasa deki zake n USBPamoja na deki yake au screen tu
Startimes za nchi 24 bei ganiZipo
395,000Startimes za nchi 24 bei gani
Zipo LG na Sonny kama kuna LG 300,000 Sonny 380,000 ila LG haina Bluetooth kunakifaa kinaitwa dongo unakiweka kwenye flash inasoma Bluetooth kama kawaidaboss nahitaji home theater ya 300k. je unazo brand zipi
Kudownload vitu kutoka kwenye sim kwenda kwenye flashOtg cable hivi inakazi gani mkuu
Ndo unauza bei ganiKudownload vitu kutoka kwenye sim kwenda kwenye flash