Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #681
Kwa kukueleza linatumia ekari ngapi kwa umwagiliaji siwezi nikakupa direct answer nacho jua mm lina fanya kazi mda mrefu bila kuchemka na lina beba lita tano za petrol inatumia kwa siku nzima....Capacity yake ikoje? Yaweza mwagilia ekari ngapi kwa siku? Fuel consumption?
Weka picha ya hiyo Kenwood mkuuInakuwa 175,000
Kwa kweli waweke bango kubwa visible kwa kila mpita njia. Watu wengi watafika kwa urahisiKaka Azania Chini Mnaamaanisha UnderFloor...Maana Flor ya kwanza ni ya Azania wenyewe.
2.Nimefika Underflow kila nnayemuuliza Nyie ndio mmeweka Tangazo JF wanabaki wanashangaa ..Sasa Pale Sijui yapo Maduka Mawili .
Nimeonyesha Picha ya Radio nlioyokua nataka ..wakaanza watu kunong'onezana Sijui ikaletwe Wap. Otherwise Nimekosea mnielekeze Vizuri.
Tutaweka japo huwezi kapotea mm mwenyew bango toshaKwa kweli waweke bango kubwa visible kwa kila mpita njia. Watu wengi watafika kwa urahisi
Mashine ya kukamua juice ya miwa?popcorn machine
Price 350,000
Kampuni ya kenwood n bidhaa gn mkuu mana nimepost ving nivema unge qoute pichaWeka picha ya hiyo Kenwood mkuu
Mimi kuna rafiki yangu alinunua lcd tv in 24 ikiwa na deck kwa nyuma, ilikua inaitwa combo company ya sansangMkuu ushawahi kuuziwa TV [emoji342] ikiwa na Deki? Naweza nikakujibu ndio kwasabab TV za kisasa deki zake n USB
Mkuu huon nimeandika popcorn machineMashine ya kukamua juice ya miwa?
Inawezekana ila sisi hatunaMimi kuna rafiki yangu alinunua lcd tv in 24 ikiwa na deck kwa nyuma, ilikua inaitwa combo company ya sansang
OK tuombe uzimaMmezi August 2017 nikija town lazima nipitie hapo.
Smart hawana nch 42 Zipo 43Vp Samsung smart 42`
Ndiyo mkuuHiyo tv ouling inch 32 inatumia Dc & Ac kwa tunaotegemea umeme wa solar?
Kuanzia saa2 usiwe nashaka tutakufanyia bei nzuri kwetu huduma bora nisehem ya jukumu letuMkuu Amani mfaume,Jmosi huwa unafungua saa ngapi.Ntaka nipite hapo mapema nije kuchek friji,Mimi naishi kimara Baruti.Sijui delivery utanifanyia Sh ngapi ili nijipange kabisa.
Takufanyia 400,000Mkuu nipe bei ya hizi mashine. Canon selphy cp 910 au cp 1200 wireless compact printer. Maana uliyonitumia mwanzo palefu
Hiyo blender ni ya brand ipi? Na kwa ujumla vitu vyako vinatoka nchi zipi?Takupunguzia kama unahitaji kweli