INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

....Capacity yake ikoje? Yaweza mwagilia ekari ngapi kwa siku? Fuel consumption?
Kwa kukueleza linatumia ekari ngapi kwa umwagiliaji siwezi nikakupa direct answer nacho jua mm lina fanya kazi mda mrefu bila kuchemka na lina beba lita tano za petrol inatumia kwa siku nzima
 
Kaka Azania Chini Mnaamaanisha UnderFloor...Maana Flor ya kwanza ni ya Azania wenyewe.
2.Nimefika Underflow kila nnayemuuliza Nyie ndio mmeweka Tangazo JF wanabaki wanashangaa ..Sasa Pale Sijui yapo Maduka Mawili .
Nimeonyesha Picha ya Radio nlioyokua nataka ..wakaanza watu kunong'onezana Sijui ikaletwe Wap. Otherwise Nimekosea mnielekeze Vizuri.
Kwa kweli waweke bango kubwa visible kwa kila mpita njia. Watu wengi watafika kwa urahisi
 
1b0d0743a6f24d73575d9dfb717d6702.jpg
popcorn machine
Price 350,000
Mashine ya kukamua juice ya miwa?
 
Hiyo tv ouling inch 32 inatumia Dc & Ac kwa tunaotegemea umeme wa solar?
 
Mkuu nipe bei ya hizi mashine. Canon selphy cp 910 au cp 1200 wireless compact printer. Maana uliyonitumia mwanzo palefu
 
Mkuu Amani mfaume,Jmosi huwa unafungua saa ngapi.Ntaka nipite hapo mapema nije kuchek friji,Mimi naishi kimara Baruti.Sijui delivery utanifanyia Sh ngapi ili nijipange kabisa.
 
Mkuu Amani mfaume,Jmosi huwa unafungua saa ngapi.Ntaka nipite hapo mapema nije kuchek friji,Mimi naishi kimara Baruti.Sijui delivery utanifanyia Sh ngapi ili nijipange kabisa.
Kuanzia saa2 usiwe nashaka tutakufanyia bei nzuri kwetu huduma bora nisehem ya jukumu letu
 
Back
Top Bottom