INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mo electro nch 32
USB
VGA
HDMI
AV
Free channel full HD
Price 475,000
 
Kuna mtu kanambia eti hizo theater hazipigi mziki kama hizo zingne. We najua una udhoefu nambie je ni kwel. Maana me nataka mziki wa maana.
Home theater inapiga mziki vizuri sana hiyo nyingine inapiga ila kwa kuweka ndani haipendezi ipo kizamani ila home theater ipo vizuri
 
Home theater inapiga mziki vizuri sana hiyo nyingine inapiga ila kwa kuweka ndani haipendezi ipo kizamani ila home theater ipo vizuri
Home theatre ni nzuri kwa movies, ndio maana inaitwa hivyo,unaweza kupiga audio lakini haifikii quality ya proper music system ila wengi wenu mnafikiri muziki mzuri ni bass!
 
Home theatre ni nzuri kwa movies, ndio maana inaitwa hivyo,unaweza kupiga audio lakini haifikii quality ya proper music system ila wengi wenu mnafikiri muziki mzuri ni bass!
Kwahyo mziki mzuri ni upi boss
 
Kwahyo mziki mzuri ni upi boss
Music system ndio inatoa muziki mzuri. Home theatre inatoa muziki ambao unasikilizika ndio maana ili kupunguza makorokoro watu wananunua home theatre tu.

Ila kwa quality ya muziki proper music system ndio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…