Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #941
Kwa Benson m3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Benson m3
Mkuu hizi ni za chuma au mbao?Vikabati simple vya kisasa vinakuja kwa oda maalum point ujipatie![]()
Price 65,000 tu
Chuma mkuu sio mbaoMkuu hizi ni za chuma au mbao?
Una hii kitu. Nini tofauti yake na home theater. Ipi kali kwa mziki na zile home theater. Sh ngapiKwa Benson m3
Mkuu nipo chato nitaipataje pia nipe na gharama zake mpka huku Chato?![]()
Bracket ya stand TV
Inafunga nch32 had 55
Price 255,000
Ipi kali kwa musicKwa Benson m3
Chukua home theater hiyo juuIpi kali kwa music
Hii[emoji116] [emoji116]
View attachment 514728au hii [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 514729
Unachangia 10000 tuMkuu nipo chato nitaipataje pia nipe na gharama zake mpka huku Chato?
Kuna mtu kanambia eti hizo theater hazipigi mziki kama hizo zingne. We najua una udhoefu nambie je ni kwel. Maana me nataka mziki wa maana.Chukua home theater hiyo juu
Kama hutomaindi naomba uni PM picha zaidi za hili kabatiChuma mkuu sio mbao
Home theater inapiga mziki vizuri sana hiyo nyingine inapiga ila kwa kuweka ndani haipendezi ipo kizamani ila home theater ipo vizuriKuna mtu kanambia eti hizo theater hazipigi mziki kama hizo zingne. We najua una udhoefu nambie je ni kwel. Maana me nataka mziki wa maana.
kilichokuleta huku ndicho kilichonileta na mimi hukuSasa huku umekuja kufuata nini SMH
Tuma na aina zingine, Epson printer yenye uwezo wa kutoa picha.![]()
![]()
Printer ina Scan na photocopy
Price 150,000
Ni free channel sio ving'amuziHii uliosema inaving'amuz ni vibgamuz vyote au vp
Home theatre ni nzuri kwa movies, ndio maana inaitwa hivyo,unaweza kupiga audio lakini haifikii quality ya proper music system ila wengi wenu mnafikiri muziki mzuri ni bass!Home theater inapiga mziki vizuri sana hiyo nyingine inapiga ila kwa kuweka ndani haipendezi ipo kizamani ila home theater ipo vizuri
Kwahyo mziki mzuri ni upi bossHome theatre ni nzuri kwa movies, ndio maana inaitwa hivyo,unaweza kupiga audio lakini haifikii quality ya proper music system ila wengi wenu mnafikiri muziki mzuri ni bass!
Music system ndio inatoa muziki mzuri. Home theatre inatoa muziki ambao unasikilizika ndio maana ili kupunguza makorokoro watu wananunua home theatre tu.Kwahyo mziki mzuri ni upi boss
Kwa music hio ya chini.Ipi kali kwa music
Hii[emoji116] [emoji116]
View attachment 514728au hii [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 514729