sheikh wazir
Member
- May 28, 2017
- 89
- 65
Hiyo ya speaker 5 kama ukipunguza nitabeba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi mana zote zina spika tanoHiyo ya speaker 5 kama ukipunguza nitabeba
Hiyo ya laki 3
Unanunua mkuuNinanunua au utatoa
NdioIle ya laki 3 na kumi imekamilika?
Ww tu na ulivyo jipanga nipe 780 nikupe upate kesi ya kuwadondosha watu kwa preshaNataka kwa ujumla theatre ya sauti kubwa na mdundo mkubwa hadi Nyumba niliyopanga nipewe notice,itakuwa bei gani
Toa 370 nikupe Sonny ya spika ndogo tanoDuuuuh parefu mkuu
Hata hiyo Sonny nayo kwambia unatoboa gypsumHiyo ya kudondosha wapita njia ndo zuri Fanya discount,kuna baba mwenye Nyumba kila nikitaka kuhama ananikatalia sasa nikigonga usiku kucha mziki najuwa ataniruhusu nihame nimpunguzie kelele
Hapana zile za kizamani mkuu hizi zina DVD playerNi ile ya CD 5?
Hahahahaha sio kwa kunichekesha hukuNataka kwa ujumla theatre ya sauti kubwa na mdundo mkubwa hadi Nyumba niliyopanga nipewe notice,itakuwa bei gani