INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Hiyo ya kudondosha wapita njia ndo zuri Fanya discount,kuna baba mwenye Nyumba kila nikitaka kuhama ananikatalia sasa nikigonga usiku kucha mziki najuwa ataniruhusu nihame nimpunguzie kelele
 
Hiyo ya kudondosha wapita njia ndo zuri Fanya discount,kuna baba mwenye Nyumba kila nikitaka kuhama ananikatalia sasa nikigonga usiku kucha mziki najuwa ataniruhusu nihame nimpunguzie kelele
Hata hiyo Sonny nayo kwambia unatoboa gypsum
 
hivi tv screen kubwa kabisa ni inch ngapi.... nataka moja kubwa to the max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…