Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #1,361
Flat za zaman zilikua LCD za sasa led na HD na 4k pia inategemea na aina na matumizi kama unatumia king'amuzi chenye HDMI ukitumia HDMI cable hua inatoa picha clearNaombeni mnielimishe wataalam, Nimekuwa nikiangalia flats screen , Nimegundua kuna zingine picha zinakuwa na Giza Giza na zingine zinatoka vizuri sana picha zake. Sasa HIi husababishwa na nini?
mkuu kwenye insta unatumia jina gani nicheki bidhaa zako, manake hata hii feni nimeitamani
mkuu zikija hizo feni nifahamishe
Post sent using JamiiForums mobile app
hata LED na HD zishapitwa na wakati sasa kuna UHD TV hizi ndio lastest mkuu,Flat za zaman zilikua LCD za sasa led na HD na 4k pia inategemea na aina na matumizi kama unatumia king'amuzi chenye HDMI ukitumia HDMI cable hua inatoa picha clear
Post sent using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu ila led huwez fananisha na lcdhata LED na HD zishapitwa na wakati sasa kuna UHD TV hizi ndio lastest mkuu,
Mkuu insta binafsi sina akaunt niliwahi kuwa na akaunt awali kwa sasa nipo jf tu japo insta kuna akaunt nyingi ila sio official kama hii ya jf ukinikosa jf njoo kariakoo mkuumkuu kwenye insta unatumia jina gani nicheki bidhaa zako, manake hata hii feni nimeitamani
Mkuu LCD Sio flat za Zaman.Flat za zaman zilikua LCD za sasa led na HD na 4k pia inategemea na aina na matumizi kama unatumia king'amuzi chenye HDMI ukitumia HDMI cable hua inatoa picha clear
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa ITMkuu LCD Sio flat za Zaman.
Flat tv zote zinaitwa LCD then hizi za chogo zinaitwa CRO.
LED and HD ni technology for displaying the quality picture( graphics).
LCD zote zinatumia either LED, HD, UHD, OLED etc. or both of them.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaz yake nini? Naomba kuelimishwaGenerator maarufu kama invertor generator zinapatikana hapo?View attachment 534845
Mkuu LCD Sio flat za Zaman.
Flat tv zote zinaitwa LCD then hizi za chogo zinaitwa CRO.
LED and HD ni technology for displaying the quality picture( graphics).
LCD zote zinatumia either LED, HD, UHD, OLED etc. or both of them.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu LED ni light emitting diode kwa sababu ya colour display na OLED ni organic light emitting diode, this is advanced of LED and 4k is combination of four things( graphics format).Marekibisho kidogo, sio CRO ni CRT (cathode ray tube) na sio kweli kwamba LCD zote zinatumia LED, OLED na nyingine ulizo taja.
Kwenye LCD walitumia technology ya vimiminika (liquid crystal display) na katika LED wanatumia diodes so, utaona ni vitu viwili tofauti kabisa.
But UHD, OLED na 4K ndio inaweza ikawa advancement ya LED ila sina uhakika anaye jua anaweza kusaidia hapo
Mkuu LED ni light emitting diode kwa sababu ya colour display na OLED ni organic light emitting diode, this is advanced of LED and 4k is combination of four things( graphics format).
LCD is not graphics format and CRT tube emitting cathode rays to hit on screen for producing image.
Flat screen ni liquid crystal display.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mkuu yamkini nina mix madesa.Mkuu unaposema flat screen ni lcd kwa maana hiyo led sio flat au unataka kumaanisha nini? Flat means shape, ndio maana zipo tv za zamani zenye technology ya crt lakini zina flat display nyuma ndio zina chogo (tafuta sony Bravia za miaka ya nyuma)
Samsung inch 28
VGA USB AV2 HDMI full HD
Price 370,000
vga to hdmi hakuna
Vifaa vya HDMI to smart original
Price 32000